Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

Hirizi ikipumua si inaondoa Uhai kabia?
 
Kila linalofanywa na binadamu Nyani huona kama ni uchawi. Hakuna uchawi unaofanyika hadharani . Kuweni na akili. Luc Eymael hakukosea kuwaita Manyani.
 
Sio tu ilijambo ni la kushangaza katika mashindano ya klabu bingwa ya Africa ngazi ya robo fainali Tena likiwa na Live coverage Bali linahitaji roho ya kichawi yenye uzoefu wa kiwango Cha juu sana.
Ikiwa Yale yamefanyika hadharani Sasa uko gizani uwa wanafanya Nini?
Maana ata timu zetu za ligi kuu apa Tanzania hazijawahi kufanya upuuzi huu.
 
Mambo ya Simba na Orlando yameshapita subiri jumamosi utalala na viatu.

 
Acha ushamba na ulimbukeni hiyo ni imani kama ilivyo imani yenu ya mitume na manabii... Ama ya Mohamed... Nchi haina Dini...
 
Naunga mkono hoja
 
Kuna mambo mengine mtu unaweza kuyapenda lakini inabidi uyafiche kidogo unapokuwa nje ya nchi.

Hao orlando pirates ni mechi ipi nje ya nchi yao wametambika uwanjani kama huo upuuzi waliofanya simba.

uje na facts, so stori
Ufiche nini wakati ni imani kama imani zingine... Au wewe unaficha msaafu ama Quran
 
Mfa majiโ€ฆ.
 
Hii mechi sikuichek kumbe walifanya huu upupu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nigerians wanaosifika kwa mambo haya wanafikaga world cup lkn hawajawah kufanya hv uwanjan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ