GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hata Afisa Mtendaji wa Kata anaweza kuzindua!Iwe uchawi au sio uchawi ila binafsi sioni umuhimu wake.
Hamna impact huko unakopita, hauachi athari chanya zaidi ya athari hasi tupu.
Uuzwaji holela wa pombe chafu, ngono zembe, umalaya, kamali haramu ndio vinakua vimejaa sehemu mwenge utalala.
Kuzindua miradi si inaweza kuzinduliwa hata na mkuu wa wilaya au mkoa.
Sijui mwenge una faida gani aiseee.Hata Afisa Mtendaji wa Kata anaweza kuzindua!
Ana hadhi kwa rais mshirikina, ila hakuna taasisi inayomtambua.Huo ndio utaratibu wa nchi yetu mkuu tokea awamu ya kwanza mpaka ya sita . Mganga wa rais ana hadhi kubwa kuliko sheikh mkuu ama kardinali. Japo kuwa huwa hatambulishwi hadharani