Ushirombo: Basi la Happy Nation lagongana na gari ndogo na kusababisha kifo cha Padri Fabian Bundala

Kama ali overtake basi ajali hiyo aliitaka mwenyewe.

Kwa uzoefu kiasi nilio nao ajali nyingi ni usingizi, ingawa police wanatudanganya eti ni mwendo kasi hapanaaaaa.

Madereva wetu hawapati muda wa kulala.

Anafika dar saa 5usiku, anaenda kulala kwa mama amina, wanabinuka weee wanalala saa 7 usiku, dereva ana uchovu wa safari, na uchovu wa mama amina. Anaamka saa 10 saa 11: 45 safari inaanza , hivi huyu kiumbe kwa nini asipitiwe usingizi?

Dereva anaetakiwa kuendesha gari asubuhi, anatakiwa kulala saa 2 akichelewa sana mwisho saa 3 usiku. Na siku hiyo sio lazima afanye. Na akifika akataka kufanya basi siku inayofata asiendeshe gari.

Hii ni kwa dereva yeyote sio wa mabasi tu unless huna safari ya kwenda mbali.

Vip madereva nadanganya?
Muda mwingi madereva tunajichosha wenyewe,Kama unajuwa wajibu wako ulio sign Mkataba kwa Nini usijioe muda wa kupumzika zaidi ili utimize kazi yako kwa ufanisi!!??
 
wakukurupuka1 seems jamaa atakuwa ni driver sasa sijui ni wa basi au lorry.

Hii ni habari yake kama siyo ya tano basi ya sita anapandisha hapa kuzungumzia ajali na zote zimekuwa confirmed.
Huyu ni Mtu muhimu sana, maana habari zingine hadi mamlaka izitowe, lazima izipige filter kwanza,alafu ndiyo watowe, lakini kwa Mwana tunapata kitu exclusive!!
 
Basi kampuni ya Happy Nation limesababisha ajali jana usiku maeneo ya Ushirombo.

Basi ilo linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Bukoba lilisababisha ajali kwa kugonga gari ndogo uso kwa uso na chanzo cha ajali iyo ni overtake sehem isiyo salama.

Dereva wa gari ndogo amepoteza maisha pale pale na hakuna madhara kwa abiria wa basi hilo.

Hivi kwanini mnapenda kutembea usiku ?
 
Kama ali overtake basi ajali hiyo aliitaka mwenyewe.

Kwa uzoefu kiasi nilio nao ajali nyingi ni usingizi, ingawa police wanatudanganya eti ni mwendo kasi hapanaaaaa.

Madereva wetu hawapati muda wa kulala.

Anafika dar saa 5usiku, anaenda kulala kwa mama amina, wanabinuka weee wanalala saa 7 usiku, dereva ana uchovu wa safari, na uchovu wa mama amina. Anaamka saa 10 saa 11: 45 safari inaanza , hivi huyu kiumbe kwa nini asipitiwe usingizi?

Dereva anaetakiwa kuendesha gari asubuhi, anatakiwa kulala saa 2 akichelewa sana mwisho saa 3 usiku. Na siku hiyo sio lazima afanye. Na akifika akataka kufanya basi siku inayofata asiendeshe gari.

Hii ni kwa dereva yeyote sio wa mabasi tu unless huna safari ya kwenda mbali.

Vip madereva nadanganya?
Kupiga goli Moja siyo mbaya,tatzo ni pale unapokutana na wale wakina mama Amina ambao huwa hawalizik

Unampiga kimoja kirefu cha dk 30,unajua umemaliza kazi,unashangaa baada ya nusu saa anaanza kukupapasa Tena akiwa anamaanisha anataka Tena bila hata kuwahurumia abiria unaowabeba kesho yake
 
Mama amina mbeleee
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo- Mkoa wa Geita Sio saizi yako mpendwa.

IGP amekufungia macho Sijui kwanini.

Mabasi mkoa mzima wa Geita yanakimbizwa mno na Hakuna serikali barabarani Mkoa Mzima.
 
Back
Top Bottom