Ushoga na uraibu wa madawa ya kulevya kwa watoto 2000s ni ( karma)mokeo ya laana ya wazee wa miaka ya 60,50,40s kwa kizazi cha miaka ya 70,80 na 90s

Ushoga na uraibu wa madawa ya kulevya kwa watoto 2000s ni ( karma)mokeo ya laana ya wazee wa miaka ya 60,50,40s kwa kizazi cha miaka ya 70,80 na 90s

Jinsi mnavotunanga sisi watu wa 2000s inaonesha jinsi nyie wazee hamna akili.

Matatizo yenu ya ulevi, umaskini na umalaya hamuyaoni mnanyosha vidole tu.
 
Hii huwa inatumika ama Ina apply tu afrika ama dunia nzima. Sijaona matokeo ya wazungu na waarabu walichowafanyia waafrika mpaka Leo hii wanatuibia kkwa miktaba ya udanganyifu na utapeli. Naomba tujikite tu kwa kauli yako hiyo tafadhali.
Naona wazungu wanazidi kustawi na afrika inazidi kudumaa so hii kauli yako ya karma mbona haionekani
Of course... mi mwenyewe naona KARMA ina upendeleo kama wazungu kweli kuna watu waliofanya dhambi kubwa na kutuibia natural resources na bado wana songa mbele na hawana mabalaa kama sisi tuonao tendewa. Kuna kitu kina miss
 
Back
Top Bottom