Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Anaidhalilisha jinsia meKumbe!? Mimi nilidhani ni Ke huyu…aisee kaamua kutumia tundu lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaidhalilisha jinsia meKumbe!? Mimi nilidhani ni Ke huyu…aisee kaamua kutumia tundu lake.
Natural predisposition/geneticsDaaah, hiyo category ya kwanza sijakuelewa; kwamba huyu mtu amekamilika katika maumbile yake (male), na yanafanya kazi kama kawaida, halafu anakuwa shoga bila kusababishwa na external reasons?! Na je, vipi sexual arousal, zitamjia kwa perspective zote mbili; kwa maana ile ya kawaida na ya ushoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
No, anajidhalilisha yeye mwenyeweAnaidhalilisha jinsia me
Sio ke. Mchele Mchele huyoKumbe!? Mimi nilidhani ni Ke huyu…aisee kaamua kutumia tundu lake.
Waongo hao. Wanapenda mselelekoNaomba kuuliza,hv mkun d u una hisia unapata nyege
Maana ukifatilia video za hawa watu wakati wa kutatuliwa rinda wanakuwa wanakunja sura ina maana wanaumia sasa hapo kuna raha gani
Afu nimeshashindwa kuelewa pale mtu anapokuwa na hormone nyingi za kike kwanini achague tundu la kinyeo ndo liteseke,kwanini asiishie kuwa kama mwanamke lakin jicho hatoi
papa dhambi alizokuwa nazo nyingi na mbaya sana kuliko ushogaUshoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;
1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).
Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.
Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.
Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.
NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
Pope amefafanua kauli yake ya juzi baada ya kuona hakueleweka. Sasa kwa huu ufafanuzi nimemwelewa ila siku nyingine mambo sensitive kama haya awe anatoa ufafanuzi wenye clarity ya kutosha asichanganye watu na kuanza kulazimika kufafanua kama hivi;Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;
1) Natural predisposition (genetics).
2) Mazingira (malezi na trauma).
Watu wamejikuta wapo huko bila kujua. Tusiwalaumu na kuwakatilia mbali wale wanaoathirika kwa njia hizi, ndicho Papa Francisco anachosema na kwa bahati mbaya ameeleweka vibaya.
Pia Ushoga waweza kutokana na purely experimental reasons (utundu) wa mhusika. Mtu hana matatizo wala historia ya malezi mabovu au trauma ila kaamua kuwa shoga. Hapa mhusika alaumiwe lakini asaidiwe.
Wote wanahitaji msaada kisaikolojia na kiroho.
NB: Ni ajabu kwamba siku hizi tunaweza kujadili mambo haya hadharani. Hii inaonesha moral insensitivity inazidi kukua na msishangae ushoga ukawa issue ya kawaida sana siku zijazo na wanaopinga au kushangaa ushoga wakawa ndio wenye kushangawa na jamii kuliko mashoga wenyewe!
Ukisoma kitabu cha new world order huwezi kuwa kiongozi mkubwa wa dini bila kukubali homosexuality hyo papa moyoni mwake halipendi na analichukia hilo jambo ila ndio matakwa ya wakubwa wake lazima akubali.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Eh! Kila mtu alinde nyumba yake isikumbane na dhihaka hii!Ushoga una sababu nyingi kubwa ni mbili;