Ushoga wa hawa malegend wa soka umeniacha hoi sana

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Mastaa hawa wawili kutoka Hispania wamejitangaza hadharani kuwa wao ni vyakula vya wahuni, lol.[emoji26][emoji26][emoji26]

Kwao wanaona ni sawa ila dah, hawa wamezingua sana bora wangepiga kimya tuu.


 
Jamaa amekanusha kwamba vyombo vya habari vinasema kila siku anabadirisha wanawake ndo maana ameona hawape cha kusema.

Amekanusha:
Iker Casillas has deleted his tweet about being gay.

Spanish newspaper AS explains that “he was being 'ironic' about his sexuality in order to deny rumours linking him to some Spanish showgirls and actress”.

“He wants the media to stop spreading fake news linking him to new women every week”, AS added.
 
Dah!hapo automatic cassilas anapumliwa na puyol..kwahyo mwamba ameona kufungwa magoli uwanjani haitoshi kaona aanze na kufungwa magoli kitandani
Ukute na yeye Puyol hana malinda, mazungu mimi siyaamini.
Ramos na Pepe na vile wanapiga viatu na wao wakiwa hawana malinda ntaacha kuangalia soka.
 
Usimuwekee dhamana mtu YOYOTE hata Kama ni BABA YAKO MZAZI.
Hyo ni kampeni ya kutushawishi ili tuone ni Jambo la kawaida.sasa hivi marangi rangi yao wameyaweka kila sehemu.
wanapojitangaza wanakuwekea.mazingira na wewe uanze kugongwa maana utasema mbona puyol anagongwa, mbona casillas anagongwa
 
Kwa hyo ukiambiwa wewe ni kicheche basi dawa yao NI kuwaambia wewe ni shoga?
Wapi na wapi?
 
List Bado ndefu Sana.
Koke na Rihana walimuita Cr7 Fagot na jamaa akajibu "Yeah am a rich fagot"
Hatuna namna tuwashabikie mbele ya Kioo cha Camera... Nyuma ya camera Kuna mengi.
 
Elimu ya kukariri imeathiri nchi yetu. Watu hawasomi mara mbili, wanakimbilia kuandika. BTW mtu akisema yeye ni gay wabongo wengi wanakimbilia kusema anapumuliwa. Hawajui kuwa gay ni jina linalotumiwa na hata wale ambao sisi tunasema ni mabasha. Ngoja iko siku mzungu atamuambia kijana wa kibongo yeye ni gay hivyo amempenda na yuko tayari kumpa dau kubwa wakalale wote akimbilie akidhani anaenda kumpumulia apate mshiko kumbe anakwenda kupumuliwa yeye.
 
Kitu ambacho hatujui ni kwamba ushoga unaingizwa kweny mchezo wa soka taratibu angalia sakata la indris GANA,hadi lilipelekea akaondoka PSG kisa tu kupinga ushoga ,jana wakati naangalia game ya bundesiliga kati ya Rb lepzg na Mainz 05 kipa wa Mainz kavaa kitambaa Cha kapteni kina bendelea za upinde kabisa
 
Kuueneza maana yake kuutoa kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Jambo ambalo si rahisi

Labda useme wanautangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…