Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute na yeye Puyol hana malinda, mazungu mimi siyaamini.Dah!hapo automatic cassilas anapumliwa na puyol..kwahyo mwamba ameona kufungwa magoli uwanjani haitoshi kaona aanze na kufungwa magoli kitandani
Jamaa amekanusha kwamba vyombo vya habari vinasema kila siku anabadirisha wanawake ndo maana ameona hawape cha kusema.
Amekanusha:
Iker Casillas has deleted his tweet about being gay.
Spanish newspaper AS explains that “he was being 'ironic' about his sexuality in order to deny rumours linking him to some Spanish showgirls and actress”.
“He wants the media to stop spreading fake news linking him to new women every week”, AS added.
Anasambaza ili ahalalishe chama... PromoHakuna ushoga wala nini msiwe nmapenda kusoma vichwa vya habari juu juu na kuanza kusambaza taarifa bila kusoma kwa undani na kuelewa.
![]()
Iker Casillas’ “I’m gay” tweet: I was hacked
Former Real Madrid goalkeeper Iker Casillas has claimed his Twitter account was hacked and apologised after backlash to “I’m gay" tweeten.as.com
Kweli shetani yupo kazini, tena yuko busy sanaMastaa hawa wawili kutoka hispania wamejitangaza hadharani kuwa wao ni vyakula vya wahuni..lol[emoji26][emoji26][emoji26]
Kwao wanaona ni sawa ila dah hawa washenzi wamezingua sana bora wangepiga kimya tuu .
View attachment 2381759
View attachment 2381760
Elimu ya kukariri imeathiri nchi yetu. Watu hawasomi mara mbili, wanakimbilia kuandika. BTW mtu akisema yeye ni gay wabongo wengi wanakimbilia kusema anapumuliwa. Hawajui kuwa gay ni jina linalotumiwa na hata wale ambao sisi tunasema ni mabasha. Ngoja iko siku mzungu atamuambia kijana wa kibongo yeye ni gay hivyo amempenda na yuko tayari kumpa dau kubwa wakalale wote akimbilie akidhani anaenda kumpumulia apate mshiko kumbe anakwenda kupumuliwa yeye.Hakuna ushoga wala nini msiwe nmapenda kusoma vichwa vya habari juu juu na kuanza kusambaza taarifa bila kusoma kwa undani na kuelewa.
![]()
Iker Casillas’ “I’m gay” tweet: I was hacked
Former Real Madrid goalkeeper Iker Casillas has claimed his Twitter account was hacked and apologised after backlash to “I’m gay" tweeten.as.com