Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

Mara ya mwisho kutongoza live ilikua 2014 kwa mtoto wa Katekista. Niliapa sitarudia tena, Sio kwa maswali yale[emoji125][emoji125][emoji125]
Uliulizwa Ile classic 'una malengo gani na Mimi?' au kale kamsemo ka 'tafadhali naomba usinipende'[emoji23]
 
Mara ya mwisho kutongoza live ilikua 2014 kwa mtoto wa Katekista. Niliapa sitarudia tena, Sio kwa maswali yale[emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi nilitukanwa nikaambiwa sijui kutongoza na kicheko Cha dharau juu[emoji1787][emoji1787].Niliapa sitarudia.
 
Bado mnatongozana tu? Siku hizu vibes zikiendana imeisha hiyo.
 
Idad kubwa,wake zawatu pamoja na yapis kali zilizo liwa zimefanikishwa kwanjia ya simu.. amin hivo mkuu, sabbu hata domozege nao wanawin kwa% achilia mbali watu hatar kama zero IQ.
 
Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada.

Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu.

Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku muimbishe uombe appointment, asilimia kubwa watakubali sababu hawatokua wamejiandaa, na incase akitokea muimbishe zaidi huku unalenga kula mzigo na mzigo utaula tu 80% probable.

Mshasoma 'The art of war'? Sun Tzu anasema 'attack when your enemy is unprepared' sasa mtongoze dem kwa texts hapo unakua unampa mda mwingi wa kujipanga na atakudharau.

Mtongoze dem akiwa unprepared hapo ataona aibu aibu na hio ni dalili nzr.

Kuna binti mwasibu wa jumuiya nmetoka kumla sasa hv hapa lkn nmetumia hio mbinu mtoto wa watu akaanza kunichekea tu, sio kwamba ni yuko cheap lkn mbinu zangu zimefanikiwa, na hapa mtaani watu wanamuogopa balaa ila mwanaume nimekula leo na style ambazo sikudhan anazijua. Huyu nitaoa niombeeni kaka yenu uzima tu na asibadilike huyu mtoto.


All in all usiwe kama Simba Sc kutarget robo fainali wakati Yanga tunataka kombe, utachelewa mjini hapa shauri yako
Sisi wenyewe tutamfata uso KWA uso tutamtafuna tu, kirahisi
 
Watu wengine viherehere.

Sasa uasherati wako na Muhasibu wako ulikuwa na haja gani ya kuihusisha na Simba?

Pathetic!.

Aiseee, nna miaka kumi sijaitwa kiherehere, jf under fake ids inaleta raha sana.

Ila tuongelee simba na uasherati, yaan unaona kabisa haviendani. Huyo CEO wenu kambania mbususu boss wake akaitoa kwengine ndo ikamlazimisha kuachia ngazi kama hujui
 
Back
Top Bottom