MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
watu tunatofautiana hata mm siku ya kwanza sikupata shida ila cku ya tatu nilishindwa kwenda mpaka kwenye kazi zanguHizo mnazozizungumzia mmekunywa mwaka gani ? maana kuna jamaa ametoka kuzinywa hivi karibuni anasema za sahivi hakuna hayo makali wala hayo madhara ziko vidonge thelathini tu ila uchovu unausikia
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenyewe kwenye bandiko lako umesema watu waache ngono zembe kwa sababu unajua wapo watu wengi kama wewe wanaopata kwa njia hiyo sasa hivi unaanza kubadilisha tena maandishi yako mwenyewe?Alafu sio kila anayetumia ni kafanya mapenzi tu wengine wamejikata.wengine walipata ajali nk ndio maana nikakuuliza wewe sio mpumbavu? Tuache kujifanya tunajua sana behind keyboard... mistakes happens
Wewe kwa zile rafu zako utakuwa prep na pep zimekuhusu mara kadhaa chapombeHizo mnazozizungumzia mmekunywa mwaka gani ? maana kuna jamaa ametoka kuzinywa hivi karibuni anasema za sahivi hakuna hayo makali wala hayo madhara ziko vidonge thelathini tu ila uchovu unausikia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji23] hapana mkuu Niko makini kinga muhimu hivi prep na pep tofaut yao ni IPI ?Wewe kwa zile rafu zako utakuwa prep na pep zimekuhusu mara kadhaa chapombe
watu tunatofautiana hata mm siku ya kwanza sikupata shida ila cku ya tatu nilishindwa kwenda mpaka kwenye kazi zangu
We mwenyewe kwenye bandiko lako umesema watu waache ngono zembe kwa sababu unajua wapo watu wengi kama wewe wanaopata kwa njia hiyo sasa hivi unaanza kubadilisha tena maandishi yako mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema siku ya kwanza aliuliza daktar kuhusu hizo side effect akaambiwa zimeboreshwa hazina makali tena yeye alikuwa anameza usku
Alinionyesha ni vidonge Fulani hivi kama rangi ya pink hivi kwenye kichupa viko 30 au unasemea ni vipi ? Au watu wanatofautiana miili ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.
Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla
Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..
Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .
Ila kuna jamaa yangu ameshatumia Pep zaidi ya mara 3 yeye amezizoea maana akipita sehemu sio tu basi anagonga PEP
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.
Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla
Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..
Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .
Nimemuuliza kama amewahi kutumia wapi nimesema alifanya ngono zembe? Btw huyo ni dakitari nafahamu anazijua hata kama hujawahi kutumia yeye nimependa tu kumchokozaHapo mimi nimeangalia upande mmoja ila naekewa sio kila anayecomment hapa kwamba alishawahi kutumia basi alifanya ngono zembe sawa mama? Kuna wengine madaktar hapa mistake ilitokea wakat wanatibu watu wao nk..sasa wewe kama unafikiri kwa urefu wa robo inch haya..naomba tuishie hapa mjadala na ww..comment zipo nyingi sana za kusoma na kureply
Hahhaha waambie vijana hawaelewi lakini PEP zina balaa mara ya kwanza kumeza siku ya kwanza nililala fresh kimbembe ilipofika asubuhi nilitapika mfululizo,mwili wote haukuwa na nguvu kichwa kizito usingizi usiokoma ili bidi niwekewe drip kwanza ili niwe sawa ilipofika siku ya pili kimbembe kikahamia kwenye mandoto ya hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku ukilala zinakueletea mapicha-picha zaidi ya dawa malaria.Atakua kameza PEP sasa amekumbwa na hallucinations za kufa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuuliza kama amewahi kutumia wapi nimesema alifanya ngono zembe? Btw huyo ni dakitari nafahamu anazijua hata kama hujawahi kutumia yeye nimependa tu kumchokoza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa kuna kitu kingine alikuwa anafanyia hizo dawa kwa mziki wa pep ukitumia mara moja huwezi tamani tenaKuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.
Ikiwa ndio tabia yake. Mara ya kwanza, ya pili, ya tatu... ya nne madokta wakamfukuzia mbali.
Sijui alishajifia? au alikimbilia sipitali nyingine kuomba ARV ili ajikinge! Ujinga mzigo!
Sent using Jamii Forums mobile app