Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Hizo mnazozizungumzia mmekunywa mwaka gani ? maana kuna jamaa ametoka kuzinywa hivi karibuni anasema za sahivi hakuna hayo makali wala hayo madhara ziko vidonge thelathini tu ila uchovu unausikia
 
Sent using Jamii Forums mobile app
watu tunatofautiana hata mm siku ya kwanza sikupata shida ila cku ya tatu nilishindwa kwenda mpaka kwenye kazi zangu
 
Alafu sio kila anayetumia ni kafanya mapenzi tu wengine wamejikata.wengine walipata ajali nk ndio maana nikakuuliza wewe sio mpumbavu? Tuache kujifanya tunajua sana behind keyboard... mistakes happens
We mwenyewe kwenye bandiko lako umesema watu waache ngono zembe kwa sababu unajua wapo watu wengi kama wewe wanaopata kwa njia hiyo sasa hivi unaanza kubadilisha tena maandishi yako mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mnazozizungumzia mmekunywa mwaka gani ? maana kuna jamaa ametoka kuzinywa hivi karibuni anasema za sahivi hakuna hayo makali wala hayo madhara ziko vidonge thelathini tu ila uchovu unausikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwa zile rafu zako utakuwa prep na pep zimekuhusu mara kadhaa chapombe
 
Anasema siku ya kwanza aliuliza daktar kuhusu hizo side effect akaambiwa zimeboreshwa hazina makali tena yeye alikuwa anameza usku

Alinionyesha ni vidonge Fulani hivi kama rangi ya pink hivi kwenye kichupa viko 30 au unasemea ni vipi ? Au watu wanatofautiana miili ?
watu tunatofautiana hata mm siku ya kwanza sikupata shida ila cku ya tatu nilishindwa kwenda mpaka kwenye kazi zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mimi nimeangalia upande mmoja ila naekewa sio kila anayecomment hapa kwamba alishawahi kutumia basi alifanya ngono zembe sawa mama? Kuna wengine madaktar hapa mistake ilitokea wakat wanatibu watu wao nk..sasa wewe kama unafikiri kwa urefu wa robo inch haya..naomba tuishie hapa mjadala na ww..comment zipo nyingi sana za kusoma na kureply
We mwenyewe kwenye bandiko lako umesema watu waache ngono zembe kwa sababu unajua wapo watu wengi kama wewe wanaopata kwa njia hiyo sasa hivi unaanza kubadilisha tena maandishi yako mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaha waambie vijana hawaelewi lakini PEP zina balaa mara ya kwanza kumeza siku ya kwanza nililala fresh kimbembe ilipofika asubuhi nilitapika mfululizo,mwili wote haukuwa na nguvu kichwa kizito usingizi usiokoma ili bidi niwekewe drip kwanza ili niwe sawa ilipofika siku ya pili kimbembe kikahamia kwenye mandoto ya hovyo.
 
Ndio hivyo hivyo..alaf watu wanatofautiana hizo dawa kuna wengine wanameza hizo hizo zenye makali ila wanapata shida kidogo tu na kuna wengne zinawatesa sana sasa sijajua kwanin ila nahisi kulingana na miili yan mambo ya uzito na lishe..ila hizo dawa zinatesa hasa kama hauna maambukizi
Anasema siku ya kwanza aliuliza daktar kuhusu hizo side effect akaambiwa zimeboreshwa hazina makali tena yeye alikuwa anameza usku

Alinionyesha ni vidonge Fulani hivi kama rangi ya pink hivi kwenye kichupa viko 30 au unasemea ni vipi ? Au watu wanatofautiana miili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hizo ni shida chief...
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.

Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla

Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..

Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jinsi nilivyoziona hizo dawa hutakiwi kuzifanya kama panadol...lazima zitakua na effect kubwa sana kama mtu atakua anakunywa hovyo kwa mashaka tu
Ila kuna jamaa yangu ameshatumia Pep zaidi ya mara 3 yeye amezizoea maana akipita sehemu sio tu basi anagonga PEP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu habari yako.
Hujaota Unapaa angani mara Unakimbizwa na simba mara unazikwaa, Mara umefungwa kwa sanda.

Mara unahisi unatembea bila kukanyaga ardhi yaan unapaaa, Mara unahisi watu wanakuitaa kumbe hamna .. Hujapatwa kaukichaa Ka ghafla

Vipi tumbo kuuma, kutapika, kichefu balaa , kuharisha ..

Siku NNE, Naamini hukuwahi Kupata USINGIZI .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mimi nimeangalia upande mmoja ila naekewa sio kila anayecomment hapa kwamba alishawahi kutumia basi alifanya ngono zembe sawa mama? Kuna wengine madaktar hapa mistake ilitokea wakat wanatibu watu wao nk..sasa wewe kama unafikiri kwa urefu wa robo inch haya..naomba tuishie hapa mjadala na ww..comment zipo nyingi sana za kusoma na kureply
Nimemuuliza kama amewahi kutumia wapi nimesema alifanya ngono zembe? Btw huyo ni dakitari nafahamu anazijua hata kama hujawahi kutumia yeye nimependa tu kumchokoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Icho ndio kinachonikera unakua mgonjwa wakat hauna unachoumwa
Hahhaha waambie vijana hawaelewi lakini PEP zina balaa mara ya kwanza kumeza siku ya kwanza nililala fresh kimbembe ilipofika asubuhi nilitapika mfululizo,mwili wote haukuwa na nguvu kichwa kizito usingizi usiokoma ili bidi niwekewe drip kwanza ili niwe sawa ilipofika siku ya pili kimbembe kikahamia kwenye mandoto ya hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja alikuwa na huu mchezo. Kila akimaliza kufanya umalaya anakimbilia sipitali kuomba PEP.

Ikiwa ndio tabia yake. Mara ya kwanza, ya pili, ya tatu... ya nne madokta wakamfukuzia mbali.

Sijui alishajifia? au alikimbilia sipitali nyingine kuomba ARV ili ajikinge! Ujinga mzigo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atakuwa kuna kitu kingine alikuwa anafanyia hizo dawa kwa mziki wa pep ukitumia mara moja huwezi tamani tena
 
Back
Top Bottom