Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
- Thread starter
-
- #41
Huyo atakuwa kuna kitu kingine alikuwa anafanyia hizo dawa kwa mziki wa pep ukitumia mara moja huwezi tamani tena
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] shindwaa, na sitakuja kumeza kwa jina la YesuNataman nikupe kimoja tu umeze uone kashda yake huo uchokozi wako ungekuisha
Mundende aka Puturu aka Vumbi la Congo aka Kasongo Sebene.
Swali: Assume umelala na mtu ambaye aliambukizwa Juzi,Obvious akipimwa leo kipimo hakiwezi kuonesha(Anakua kwenye window period),Je anaweza kukuambikiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe jina lake mkuu tuanze kuitest.Achana na vumbi la kongo kuna mzigo mpya saiz unatamba mjini vumbi linasubiri
Tupe jina lake mkuu tuanze kuitest.
Ukiwa na maambukizi havikutesi ?hapo sijakuelewaNdio hivyo hivyo..alaf watu wanatofautiana hizo dawa kuna wengine wanameza hizo hizo zenye makali ila wanapata shida kidogo tu na kuna wengne zinawatesa sana sasa sijajua kwanin ila nahisi kulingana na miili yan mambo ya uzito na lishe..ila hizo dawa zinatesa hasa kama hauna maambukizi
Kila mtu na nani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3] nimeona kila anayekomenti analeta uzoefu nikasema hata ambao hawajaja bado watakuja na uzoefu piaKila mtu na nani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tupo zaidi ya laki na uzi haujazidi hata watu 200. Au unataka kutupa presha
Hahahaha sawa Chief ..pole sana!!Kasoro kuharisha tu..ila hayo mengine yote yamenikuta...tena nilikua najiona kama tupo watu kumi ndan ya mwili mmoja