Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Swali: Assume umelala na mtu ambaye aliambukizwa Juzi,Obvious akipimwa leo kipimo hakiwezi kuonesha(Anakua kwenye window period),Je anaweza kukuambikiza?
 
Ndio hivyo hivyo..alaf watu wanatofautiana hizo dawa kuna wengine wanameza hizo hizo zenye makali ila wanapata shida kidogo tu na kuna wengne zinawatesa sana sasa sijajua kwanin ila nahisi kulingana na miili yan mambo ya uzito na lishe..ila hizo dawa zinatesa hasa kama hauna maambukizi
Ukiwa na maambukizi havikutesi ?hapo sijakuelewa

Si niliskia hospital wanakupa hivo vidonge pale tu wanapokupima na kugundua hauna maambukizi lakini ulifanya ngono zembe au ulipita kwenye mambo ambayo yangepelekea kupata maambukizi mfano kubakwa,au kujikata na damu kuwa exposed na mtu ambae pengine angekuwa muathirika lakini wakikupima wakikukuta na ukimwi haupewi pep si ndi hvyo au ?
 
Serious adverse drug reaction inakutafuta si bure
 
Kila mtu na nani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tupo zaidi ya laki na uzi haujazidi hata watu 200. Au unataka kutupa presha
[emoji3][emoji3][emoji3] nimeona kila anayekomenti analeta uzoefu nikasema hata ambao hawajaja bado watakuja na uzoefu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QUOTE="MLEVi Mmoja, post: 34196748, member: 557355"]
Ukiwa na maambukizi havikutesi ?hapo sijakuelewa

Si niliskia hospital wanakupa hivo vidonge pale tu wanapokupima na kugundua hauna maambukizi lakini ulifanya ngono zembe au ulipita kwenye mambo ambayo yangepelekea kupata maambukizi mfano kubakwa,au kujikata na damu kuwa exposed na mtu ambae pengine angekuwa muathirika lakini wakikupima wakikukuta na ukimwi haupewi pep si ndi hvyo au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE] yan naskia ukiwa tayar umeukwaa hizo hizo ndio zinakua ARV
 
Wakuu msinikosoe kuwa nimetoa siri ila hili ni funzo

Niko kazini hapa lisaa limoja lililopita tungempoteza kijana mwenzetu kwa mshtuko hasa baada ya kuja kupima HIV akiwa na mpenz wake.Ukweli yule dada ni mrembo nadhani tangu mwaka huu uanze sijawahi kuonana na mrembo kama yeye.Kwa muda wa miezi 6 wapo kwenye mahusiano na walikua wanashiriki mapenzi peku muda wote huo sasa jamaa amempoaa anataka kumuoa mwezi ujao na leo ndo wamekuja kucheki(kosa).

Majibu yamekua dada ni +Ve na jamaa mzima baada ya hizo habari jamaa alipatwa na mshtuko alimanusura tumpoteze tunashukuru Mungu ameamka ila analia tu na mdada ameondoka na ajabu demu yeye wala hana wasiwasi hata kidogo na wala hakushtuka kabisa alioambiwa ni +Ve.

Vijana wenzangu tusipende kugegedana halafu ndo mupime ni hatari pia kupima mara moja haitoshi angalau hata mucheki mara 3 ndo muanze kugegedana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom