Ushuhuda: Dawa za PEP sio mchezo

Ni kweli kabisa mkuu hii sio dawa ya kuua na wakishagundua unao hawakupi kabisa yaani hapo sijajua reason behind
Yaaah upo sahihi nashangaa watu wanaohangaika wakifikiri hii ni dawa ya kuua virusi.....ukiwa na ngoma hupewi

Tahadhari ndugu zangu tuache ngono zembe ukimwi hauna tiba na hii sio tiba


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa maelezo mkuu

Hiyo PEP huwa inawasaidia kweli kama tunavyosikia hizo story ?

Ukitumia pep ukamaliza unakaa mda gani unaenda Pima tena ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapima baada ya wiki nne ukimaliza tu kumeza. Then unarudia Tena kupima baada ya miezi 3 na mwisho Tena baada ya miezi 6.

Yani kwa kifupi ili ujue efficiency ya PEP Basi lazima upime Mara tatu Kama nilivyoeleza hapo juu kwa mujibu wa wenye dawa zao kina Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu PEP ndo hizo hizo ARV.

Ukienda utapewa TLE(Tenofovir,Lamivudin na Efavirenz)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumbi la congo,

TLE ni khatari.Inakupa mawenge sana.

Nililala na mwana mke mwenye matako makubwa bila mpira.Nilikuwa nimepiga K-vant za kutosha.Baada nikajutia sana.Nimemaliza PEP kwa mbinde sana.

Tuwe waangalifu na zinaa
 
Mkuu soma vizuri nimesema PEP ni hizo hizo ARV ila malengo ya utumiaji tofauti...PEP hupewa mtu aliyepata maambukizi ndani ya masaa 72 ili kumzuia kirusi asiingie ndani ya seli za mwili wako asipate kujizalisha hivyo baada ya muda akishindwa kufanya hivyo kitapambana na kinga ya mwili na kitaondolewa na mwili kama uchafu maana kitashindwa kusavaivu.

Mtu akishaathirika hizo dawa zinafanya kazi ile ile tofauti ni kuwa huyu aliyeathirika tayari virusi vilishaweza kuingia kwenye seli za mwili wake na vishakua na uwezo wa kujizalisha kwa kutumia DNA ya seli zako mwenyewe ila hizo dawa zitasaidia virusi visijizalishe tena kwenye mwili wako so vilivyokuepo vitaendelea kuepo na kupungua kutokana na vingine kuondolewa kwenye mwili kama uchafu.
TLE(Tenofovir,Lamivudin na Efavirenz) hizo ndo unapewa pamoja na pep kama umeathirika ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo atakuwa kuna kitu kingine alikuwa anafanyia hizo dawa kwa mziki wa pep ukitumia mara moja huwezi tamani tena
Athari za dawa zozote hotofautiana mtu mmoja na mwingine.
Kuna watu hasa wenye shida ya allergy wanasumbuliwa sana na dawa nyingi.

Kuna dogo anasumbuliwa na Septrine, Flagyl, kwa mfano dawa ya kikohozi au ya mafua ya kawaida anapasuka midomo na kuvuja damu kabisa.
Hizo zingine anaweza kushikwa homa kali, mafua yanavuja na kifua kinabana anakosa pumzi au kuharisha na kutapika hadi anakaribia kukata roho, au anatokwa na vipele au kuvimba vimba n.k.
 
Mara ya kwanza nilidhani ni typing error ukarudia mara ya pili unakwama wapi mzee wa sipitali??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,Mkuu wewe ni Mwalimu Mkuu?umekua mkali mpaka nimeingia ubaridi.. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…