MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Ni kweli kabisa mkuu hii sio dawa ya kuua na wakishagundua unao hawakupi kabisa yaani hapo sijajua reason behind
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaah upo sahihi nashangaa watu wanaohangaika wakifikiri hii ni dawa ya kuua virusi.....ukiwa na ngoma hupewi
Tahadhari ndugu zangu tuache ngono zembe ukimwi hauna tiba na hii sio tiba
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app