Ushuhuda: Hasara inauma asikwambie mtu

Pole sana ila najua umejifunza kitu kutokana na ulipo jaribu hamna kitu kirahisi ukiamguka nyanyuka jikung'ute kisha endelea na safari
 
Pole sana ila najua umejifunza kitu kutokana na ulipo jaribu hamna kitu kirahisi ukiamguka nyanyuka jikung'ute kisha endelea na safari
Ni kweli,nimejifunza sana.
 
Mungu atakupa njia ya kutokea, huwezi jua kingetokea nini ungevuna na kupata faida kubwa, kwa Mungu kuna siri nyingi, shukuru kwa hili
 
Mungu atakupa njia ya kutokea, huwezi jua kingetokea nini ungevuna na kupata faida kubwa, kwa Mungu kuna siri nyingi, shukuru kwa hili
Asnte kwa somo.
 
Tusijidanganye kwamba lazima afeli mara kwa mara ili aje kuibuka mshindi,kwanini afeli,sikubali hii dhana ya kwamba hata warren buffett naye alifeli hapana,hapa kashasema ugonjwa ndio ulimpiga mweleka,hivi katika kilimo/ufugaji unategemea mazao yatakuwa bila kujipanga kupambana na magonjwa? Hivi unawezaje kulima bila kuweka ulinzi? Kwa wadudu na wanyama wala mazao? Ukitaka kulima lazima ujipange ukitaka kuruka agana na NYONGA...Pole kwa yaliyokukuta ila next time mtafute mtaalamu akupe elimu ya kilimo unachotaka kufanya,hata ukimpa consultation fee ndogo atakupa elimu ya zao unalotaka kulima kuepuka hasara....Lazima ujue pia msimu,Tikiti alitakiwi likianza kukua likutane na maji so usije kulima kipindi ambacho tunda linakutana na masika,hapo tena utasema mvua imeniaribia wakati huu ni uzembe.
 
Mwenye duka alijua dhamira yako?
 
Huwezi kuitwa Mwanaume kama hujawahi kuanguka; Hongera kwa changamoto ndugu!!!!!!
 
Halafu munavyokuja shambani musije eti kwa kua una mtaji,watu in nuksi ndugu yangu.Ukianza tena jipange kila idara,Mimi nilikiwa mbishi mwanzoni baada ya kupiga hasara kama 2 hivi akili ikakaa sawa.Wanakijiji ninakula nao sahani moja mpaka wanasanda.Swali:ushawahi kulima eka 4 za Mpunga ukapata gunia 4,ambapo ulitumia mbinu zote za kilimo na mvua zilinyesha vizuri ila sikulilinda shamba n walozi.
 
Ha haaaa jamani,ni kweli?
 
Nimekupata mkuu king kong,hapo nilifeli pia,siikupata muongozo wa kutosha.
 
Inawezekana pia,kuandaa ulinzi ni nzuri pia.
 
Inawezekana pia,kuandaa ulinzi ni nzuri pia.
Hujanielewa bado.sio ilinzi wa kuweka mlinzi
Inawezekana pia,kuandaa ulinzi ni nzuri pia.
Unavyoenda kulima kijijini hakikisha umejipanga kupambana na nguvu za Giza sawaaa.unaweza kuwa na kila kitu kikakuangusha hiko tuuu!hakuna atakayekueleza jambo hili kwa kuwa wabongo wengi wanafiki
 
Hujanielewa bado.sio ilinzi wa kuweka mlinzi

Unavyoenda kulima kijijini hakikisha umejipanga kupambana na nguvu za Giza sawaaa.unaweza kuwa na kila kitu kikakuangusha hiko tuuu!hakuna atakayekueleza jambo hili kwa kuwa wabongo wengi wanafiki
Nilikuelewa vzr sana mkuu,hayo mambo yapo vijijini. Unaweza kuwa unalimia kijiji.
 
Nimekupata mkuu king kong,hapo nilifeli pia,siikupata muongozo wa kutosha.
Poa Mkuu kilimo kinahitaji umakini sana,elimu ya mazao husika ni muhimu sana,inahitaji kufanya kiuweledi,haitakiwi kufanya bora liende,lima kisomi ili kupata tija,fuata maelekezo ya wataalamu kamwe hautopata hasara.....Nimekaa na wakulima kila stage wanapiga dawa za wadudu hata kama mazao yapo vizuri lengo ni kujikinga,wanapiga booster kila baada ya stage kwa ukuaji mzuri wa mazao.
 
Ukienda kulima, wekeza pesa ya kufanya pilot study hata miaka 3 ,hautalia mkuu!
Tough times never last, tough people do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…