Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

kwa st joseph we ni wa mwisho watu wanapga 4.9 na 5 tu

Hiki chuo si kimefungwa mwaka huu kwa kutoa elimu mbovu??? Au st joseph ipi tena???

Nilishangaa sana mtu 4.8 alafu kichwan mweupe kama rim pepa mpya!!!
 
Tulikuwa na tatizo la mauzauza bwenini, tukaambiana kuwa bangi ni dawa ya majini. Tumepuliza almanusura tuwe machizi but songombingo la majini liko pale pale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
34cba64805f974f74c85280f94f8ae7d.jpg

Nilianza kuvuta weed nikiwa kidato cha kwanza na kunisaidia kwenye vitu kama;
1.Ilinipa ujasiri wa kuongea na kujielezea darasani.
2.Ilinifanya nikae mbali na wanawake.
3.Nilikua nasoma bila stress yoyote
4.Ilinipa uwezo wa kukata topic 3 kwa wakati mmoja bila kusahau au kujichanganya.
5.kidato cha nne nilifaulu vizur na kupata DIV 1.11.
Madhara.
1.Ubabe,nilikua nina uwezo wa kupandishiana na mtu yeyote ata kama ni mwalimu ikachangia kuonekana mbabe ata watoto wa kike wakawa wananiogopa sana.
2.Ilinifanya nikae mwenyewe bila ya kua na rafiki au washikaji.Mda mwingi nilikua natumia kukaa mwenyewe.
3.Iliniunguza mdomo sana ika baada ya kuzoea mdomo ukawa sawa.
Baada ya kumalza kidato cha nne niliamua kuacha kwasababu home walianza kunishtukia.
 
Mdogo wangu anadai bangi ilimsaidia kubadilisha tabia na muelekeo wake wa maisha baada ya kukamatwa makaburini. Alipiga bangi then anadai kuna spirit ilimuingia ghafla kichwani na kumshawishi akamfufue demu wake ili wavute pamoja ndipo akashikwa kwa kuitwa mchawi huku akipigwa. Kupimwa akili Muhimbili, ikaonekana ni bangi tu akapelekwa Ukonga kwa muda. Sasa karudi kitaani anahamasisha masela waache uvutaji wa duduwasha.
 
Wacha uongo, hio kitu iko smart sana, hata wakuu wa idara nyeti hutumia Sana, mimi nina wateja wangu wa biscuit na keki za marijuana, huwezi amini watu na heshima zao, wamaza wa nguvu kabisa. Halafu wewe unaleta porojo za madaktari ambao hawathink beyond boundaries wameekewa.
This stuff it's so amazing, soon nataka introduce juice ya weed. Coz market trend sio mbaya.
hujielewi tatizo, chizi huwa hajijui kama ni chizi, ndio maan ahata wewe haujielewi kama ni chizi, unaona bangi kitu kizuri kume wenye akili wanakiona sio kizuri. umeshakuwa chizi. jiweke kwenye kundi la machizi.
 
Mi imenisaidia sana kuchukulia mambo kawaida, sinaga presha at a kidogo. Nikiachwa saws, nikidhulumiwa sawa, maadui nawachukulia marafiki mpaka MTU anikunje roba ndo naelewa kuwA anamaanisha ndo namchenjia. Lakini imenifanya niishi katka mazingira ya kila namna. Niliacha kuvuta 2011
 
hujielewi tatizo, chizi huwa hajijui kama ni chizi, ndio maan ahata wewe haujielewi kama ni chizi, unaona bangi kitu kizuri kume wenye akili wanakiona sio kizuri. umeshakuwa chizi. jiweke kwenye kundi la machizi.
Hivi chizi anaandika stuff nzuri kama hivi, kufikiria mabiashara mingi, wewe ndo utakuwa chizi, coz unapondea kitu imeletwa na Creator.
 
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)


Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.


Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.

!
!
Japo nimeacha ila msaada nilioupata kutokana na mmea huu hauwezi kuelezeka kwa alfabeti hizi. Acha tu ila Bange Tamu aisee. Ni uzoefu mzuri sana nimeupata katika miaka takribani kumi ya kuwa ndani ya game hiyo.
 
Nilikuwa na vidonda vya tumbo ambavyo hali take ilikuwa mbaya sana hasa nilipofika kidato cha tatu. Nilipewa Dawa za hospital I sikupata nafuu. Akaja Mzee mmoja akawashauri wazee kuwa Dawa yake in hiyo kitu ikisagwa na kuwekwa kwenye maziwa ya moto. Nilikataa kabisa kutumia Dawa hiyo, lakini kwa sababu nilikuwa mgonjwa ilinibidi nikubali tu! Yule Mzee aliileta na kuitengeneza. Nilikuywa mchanganyiko huo kwa siku kama saba hivi, baada ya halo nilipona kabisa mpaka Leo. Nilikunywa kwenye maziwa na sikuvuta, na siwashauri watu kuitumia.

Kweli mkuu?
 
Kweli mkuu?
Hiyo ni kweli japo yawezekana vingepona tu, maana hata mimi sikuiamini sana nikihifia kuwa itanilevya, lakini haikuwa hivyo, ilichukua karibu wiki mbili wakinishawishi kutumia dawa hiyo. Kipindi kile bado nilikuwa sekondari na sikuwa na maamuzi sana, ingekuwa kipindi hiki nisingeiamini! Ningeikataa
 
Hata wanaojifanya wamepungukiwa Nguvu za Kiumbe Vuteni bangi kisha chukua Mswaki na Colgate yako ya Tzs. 6,500 Swaki Vizuri (uzuri bangi siyo sigara huwa hainuki) halafu mpigie simu mtoto Utakua umeshapona kabisa.
 
Wacha uongo, hio kitu iko smart sana, hata wakuu wa idara nyeti hutumia Sana, mimi nina wateja wangu wa biscuit na keki za marijuana, huwezi amini watu na heshima zao, wamaza wa nguvu kabisa. Halafu wewe unaleta porojo za madaktari ambao hawathink beyond boundaries wameekewa.
This stuff it's so amazing, soon nataka introduce juice ya weed. Coz market trend sio mbaya.
Uko wapi fazaaa!?
 
Back
Top Bottom