sasa nini kimekuleta hapa? nyie ndo mnaoifanya nchi yetu iwe maskinMi sijawahi kuvuta na wala sitojaribu.
kwa st joseph we ni wa mwisho watu wanapga 4.9 na 5 tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulikuwa na tatizo la mauzauza bwenini, tukaambiana kuwa bangi ni dawa ya majini. Tumepuliza almanusura tuwe machizi but songombingo la majini liko pale pale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akil za mmeaKufanya kazi mochwari bila hofu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
hujielewi tatizo, chizi huwa hajijui kama ni chizi, ndio maan ahata wewe haujielewi kama ni chizi, unaona bangi kitu kizuri kume wenye akili wanakiona sio kizuri. umeshakuwa chizi. jiweke kwenye kundi la machizi.Wacha uongo, hio kitu iko smart sana, hata wakuu wa idara nyeti hutumia Sana, mimi nina wateja wangu wa biscuit na keki za marijuana, huwezi amini watu na heshima zao, wamaza wa nguvu kabisa. Halafu wewe unaleta porojo za madaktari ambao hawathink beyond boundaries wameekewa.
This stuff it's so amazing, soon nataka introduce juice ya weed. Coz market trend sio mbaya.
Hivi chizi anaandika stuff nzuri kama hivi, kufikiria mabiashara mingi, wewe ndo utakuwa chizi, coz unapondea kitu imeletwa na Creator.hujielewi tatizo, chizi huwa hajijui kama ni chizi, ndio maan ahata wewe haujielewi kama ni chizi, unaona bangi kitu kizuri kume wenye akili wanakiona sio kizuri. umeshakuwa chizi. jiweke kwenye kundi la machizi.
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)
Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.
Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.
Nilikuwa na vidonda vya tumbo ambavyo hali take ilikuwa mbaya sana hasa nilipofika kidato cha tatu. Nilipewa Dawa za hospital I sikupata nafuu. Akaja Mzee mmoja akawashauri wazee kuwa Dawa yake in hiyo kitu ikisagwa na kuwekwa kwenye maziwa ya moto. Nilikataa kabisa kutumia Dawa hiyo, lakini kwa sababu nilikuwa mgonjwa ilinibidi nikubali tu! Yule Mzee aliileta na kuitengeneza. Nilikuywa mchanganyiko huo kwa siku kama saba hivi, baada ya halo nilipona kabisa mpaka Leo. Nilikunywa kwenye maziwa na sikuvuta, na siwashauri watu kuitumia.
Hiyo ni kweli japo yawezekana vingepona tu, maana hata mimi sikuiamini sana nikihifia kuwa itanilevya, lakini haikuwa hivyo, ilichukua karibu wiki mbili wakinishawishi kutumia dawa hiyo. Kipindi kile bado nilikuwa sekondari na sikuwa na maamuzi sana, ingekuwa kipindi hiki nisingeiamini! NingeikataaKweli mkuu?
Hahahaaaaaa hapa magu anakazi h[emoji85] [emoji125]Kufanya kazi mochwari bila hofu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Yeye mwenyewe mwanachama tena kwa kukiri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaaaa hapa magu anakazi h[emoji85] [emoji125]
Onhoooo kumbe mshua nae ana moka [emoji15] let's have marijuana mshanaYeye mwenyewe mwanachama tena kwa kukiri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uko wapi fazaaa!?Wacha uongo, hio kitu iko smart sana, hata wakuu wa idara nyeti hutumia Sana, mimi nina wateja wangu wa biscuit na keki za marijuana, huwezi amini watu na heshima zao, wamaza wa nguvu kabisa. Halafu wewe unaleta porojo za madaktari ambao hawathink beyond boundaries wameekewa.
This stuff it's so amazing, soon nataka introduce juice ya weed. Coz market trend sio mbaya.