Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

Ulitumia njia gani kulipia maana sasa hivi upatikanaji wa dola ni mtihan. Benk zetu zaidikupata zaidi ya dola mia ni mtihan. Inabidi kutumia njia ambazo si salama na unaipata kwa zaid ya tshs 2800
Wana account ya tsh bfoward ya bongo
Na ya yen ya japan
Ila kuna maelekezo kma utalipia direct japan
Mimi nililipia befoward kwa account ya crdb wanayo
 
Yaani mkuu gari niliambiwa ingia kwenye website usiku gari huwa zinaahuka bei anzia jumatatu usiku
So niliichagua tu kwa kuangalia zile basics
Then nikaiscreeshot na reference number nikamtumia huyo bibie
Ila before everything nilienda ofiai zao za ocean road
Akaniambia ukiipenda gari nipe reference namba nikucalculatie bei na discount then nitakupa account ulipie
Ila yoooote uliyomention hapo juu nilikuja kuyajua two days baada ya kulipia gari
Weeee sikulla namshukuru Mungu gari imekuja nzuri
 
Japan sio?
Ila sidhani kama ni same kwa singapore
 
Toto la kimasai linatembelea matako.
Ninaamini Ni jasho lako binafsi sio hela ya vibabu vyenye vitambi na kupaka rangi nyeusi kwa nywele.
Nimeolewa
Sitegemei vibabu
Nina biashara kubwa gari yangu ya kwanza ni zaidi ya 16M hii ni faida ya bisahara na sio mtaji
Am blessed i thank God
Ningekua sijaolewa nina qualification za kuwa JISHANGAZI sema tu siwezi kumpa mwanaume mwenye nguvu asie mgonjwa au muhitaji kumi yangu
Bye
 
Hakuna linaloshindikina chini ya mbingu halipo
 
Naona unatumia iPhone mkuu.
Umepiga hatua kubwa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…