Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo gari ya dola 35,000 kabma ya kodi ni bei ndogo? Hiyo ni milioni 80 kabla Port na TRA hawajakupiga na kodi. Jiulize ni wangapi wana uwezo wa kununua gari za zaidi ya mil 100?! Si wengi sanaNi kwamba tz wanaoweza kumiliki gari za kuanzia 2022 kuja juu ni wachache sana?
Mbona huko be forward nmeona ford ranger za 2023 no dola 35, 000 tu?
Convert hio kwenda Tsh na uweke na Kodi ya TRA then tuwekee hapa jumla uliyoipata.Ni kwamba tz wanaoweza kumiliki gari za kuanzia 2022 kuja juu ni wachache sana?
Mbona huko be forward nmeona ford ranger za 2023 no dola 35, 000 tu?
Sina hakika kama bei ni kubwa kiasi hicho isipokuwa urasimu wa mamlaka zetu hizi kwenye tozo makato na kodi kwa gari jipya kabisa.Unajua thamani ya Mitsubishi Outlander, RVR, Nissan Dualis, Xtrail, Toyota Harrier, Cross nk brand new mkuu? (nimetaja gari zinazonunuliwa sana na watu wa uchumi wa kati)
Hakika wengi tusingeweza hata kumiliki toyota vitz mkuu.
Inakuwa ngumu lakini nia ikiwepo haikosekani njia, ukiongeza jitihada japo haizidi kudra naamini sio magari tu bali vitu vingi vilivyo tumika tutaviacha.Uchumi hauruhusu mkuu
Kama tumeshindwa kuagiza yasiyozidi miaka 10 kurudi nyuma hayo mapya kabisa tutaweza?
Ukiwa na nia hautakosa njia ya kufanikiwa, ugumu uliopo upo kwenye mitazamo yetu na ile kukosa kusubiri, unaweza ukawa umepata 100 na kuna kitu kuzuri kinauzwa 120 ila kwa vile una haraka utaenda nunua kitu kama kile cha 120 kwa 80 kikiwa kina kasoro kidogo!Tunatamani ila ni ngumu, ni kwa wachache sana kwa nchi hii.
Naam! Huku tukiongozwa na majaliwa ya Mungu hakina kisicho wezekana.Hakuna linaloshindikana chini ya mbingu HALIPOO
Rrrrraaaangeeee….Ni Gari gani Tajiri Umeagiza?😎
Kizimkazi kwa mama samiaManaagiza magari Akina Dotto magari wakalewapi bwana!
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula ela za kutosha.
Katika koment watu wakasema hakikisha unapoagiza gari unapata inspection sheet.
Basi nikamuendea yule dada wa bfoward tuliyefanya nae mchakato wa kuliagiza. Nikamwambia naomba fomu ya ukaguzi akasema huwezi pata kwa sasa.
Nikapata tumbo joto sana
Nikamuuliza je gari ikija haieleweki itakuaje. Majibu yake hayo hapo chini. Ni kwamba kkiri gari za japani ni nzuri sana ila SINGAPORE KUNA SHIDA, gari yangu imefika iko manga’nyu sana.
Ipo vizuri mno na ilitokea japan
Ukaguzi wa awali na wa baada gari ina asilimia 98 ya ubora.
Bado hatujaifanyia service ndogo
RAI yangu kama unaagiza gari na bfoward usijaribu gari za singapore
Maana kama mfanyakazi wao kakiri zinachangamoto wewe ni nani ujichanganye?
View attachment 2987628
Njoo pmHello unaweza kunipa number yako PM nahtaj kuagiza gari na befoward kuna mambo ningependa kujua
👏👏👏🙏Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda