Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umemaliza kila kitu! 6 - 9; hizi namba zote ni za aina moja kutegemea upande ulio kaa. Hata mimi ningekuwa nafanya kazi BOT, kamwe nisingeacha kazi na kujiajiri! Ili iweje kwanza?Haya mambo ni kama namba sita na tisa ambazo zinategemea umekaa upande upi.
Wewe umemaliza kila kitu! 6 - 9; hizi namba zote ni za aina moja kutegemea upande ulio kaa. Hata mimi ningekuwa nafanya kazi BOT, kamwe nisingeacha kazi na kujiajiri! Ili iweje kwanza?
Ila sasa eti unafanya kazi isiyo na maslahi kama ualimu, ulinzi wa Halmashauri kama mimi! Yaani mishahara haijawahi kukutana! Halafu unaniambia eti nifie kwenye ajira! Yaani mshahara wangu kwa mwezi, ni posho ya Mbunge ya kikao kimoja tu! 😫
Si bora niendelee tu kulima ngogwe na kuuza gongo!
Kujiajiri ni kuzuri kama alivyosema GEMBESON kwamba unakuepo hapo lakini unakua na chanzo kingine cha mapato, mtaji unakua umeupatatia ndaani ya ajira.Wewe umemaliza kila kitu! 6 - 9; hizi namba zote ni za aina moja kutegemea upande ulio kaa. Hata mimi ningekuwa nafanya kazi BOT, kamwe nisingeacha kazi na kujiajiri! Ili iweje kwanza?
Ila sasa eti unafanya kazi isiyo na maslahi kama ualimu, ulinzi wa Halmashauri kama mimi! Yaani mishahara haijawahi kukutana! Halafu unaniambia eti nifie kwenye ajira! Yaani mshahara wangu kwa mwezi, ni posho ya Mbunge ya kikao kimoja tu! 😫
Si bora niendelee tu kulima ngogwe na kuuza gongo!
Umeongea ukweli mtupu, kujiajiri ukiwa na mtaji Mkubwa na pia uelewa wa biashara husika nje ya hapo ni mahangaiko tuShida kubwa ya kujiajiri ni kwamba mitaji inakuwa midogo, ila uhakika wa kujiajiri ni mzuri sana ukiwa na mtaji wa kutosha na uelewa wa aina ya biashara utakayoifanya.
Kuna watu kwa mwezi wanaingiza milioni 40 mpaka 70 mtu kama huyu hauwezi kumshauri eti akaajiriwe ata mimi binafsi nikiwa na uwezo wa kuingiza milioni 18 kwa mwezi wala siitaki ajira.
Ajira unakula uhakika wa kujilimda na majanga madogo madogo na uhakika wa kula kwa mtu mwenye kujipangia bajeti zake sawa sawa na uhakika mwingine ni kupata mkopo ambao labda utakusaidia kwa baadhi ya mambo kama Kujenga au kuanzisha biashara ya wastani.
Siku ukipata mtaji wa uhakika, usisite kuchukua tena maamuzi magumu ya kujiajiri! Imagine Bosi unakuwa ni wewe mwenyewe! Kodi unakadiriwa kwa mwaka! Tena kwa kukaa meza moja na maafisa wa TRA, mnakubaliana kiwango cha malipo.Kujiajiri ni kuzuri kama alivyosema GEMBESON kwamba unakuepo hapo lakini unakua na chanzo kingine cha mapato, mtaji unakua umeupatatia ndaani ya ajira.
Ni kweli kabisaKuajiriwa ni bora hasa uajiriwe na serikali, mikopo ni rahisi kukopeshwa na kurejesha kwa kukatwa mshahara moja kwa moja unakotoka. Kuna kiinua mgongo baada ya kustaafu na malipo ya pensheni uzeeni, hicho ndicho kinachofanya ajira serikalini iwe bora
Hii hata kesho nakutumia. Vipi unalima mkoa gani? Maana moyo wangu unaniambia nilimeMkuu mm natafuta ile Brenda ya kusaga matunda isiyotumia umeme yaan manual ukiipata nishtue
Maana nataka nirud shamba kulima kipunguza machungu ya jembe nataka niwe nashushia juisi
Usisahau bei
Naenda ngarenanyuki Arusha mkuu kulima vitunguuHii hata kesho nakutumia. Vipi unalima mkoa gani? Maana moyo wangu unaniambia nilime