USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

Mkuu inaonekana upo kwenye hii industry kwa muda wa kutosha, je unazungumziaje kuhusu soko la hizo bidhaa?
sio kwa muda mrefu sana ila kama miez kumi sasa na hii nipale nilipojaribu kufanya hii kitu practically hili nione naweza kutenda kwa vitendo vitu nilivyosoma nakusikia kuhusu kuku....xo nilinunua tetea wa2 na jogoo 1 walipotaga vifaranga nikaenda kuongezea vya chotara vya kampuni ya mkuza xo walikaa na wanakuwa wakubwa vizuri tu ila kwenye soko sikona urahisi labda sababu ya ugeni na njia zakulipata soko ama sikujituma kuwapata madalali wakubwa ili kuwafikisha kwenye masoko makubwa ya kukuk,kisutu,buguruni n.k,,,,ila soko lipo natumai hivyo ilo c lakuhofia shida ni utaalam wakumkuza huyo kuku aendane na soko kwa wakati.....nashukuru makala zile zmenipa ujasir na kama feza ikipatikana nazani hii ni sehemu nnayojiamini kuwekeza 4 sure
 
Hata Kama Nikipinga Kwa Hoja Kama Wewe Hufugi Kuku Wa Kienyeji Huwezi Kunielewa Jaribu Kuwafuga Kibiashara Ndo Utajua Jamaa Muongo
tusimuite muongo ni maoni na jitihada yake ilipoishia ila no doubt ukifuga kibiashara ndani ya miez 6_8 unauwezo wakuuza jogoo safi kwa chakula ama mayai yatetea makubwa kabisa....nathibitisha hilo bnafsi
 
unless iwe ni trick yakupunguza wafugaji maana sasa karibu kila sehemu ufugaji ni kipaumbele hivyo waliotangulia kufuga labda wanaogopa challenge ya soko coz supply itakuwa kubwa kuliko demand soko lita flood<<<<<soko la ndani bado nikubwa na hata nnje pia shida ni link za masoko ndizo zintukosesha wengi ujasiri
 
hao kuku ambao ukifuga wanauwezo mzuri wa kutaga nawanauzito mzuri
Inategemea na mkoa uliko kwa huku dar hawa niliofuga mimi niliwanunua TAZARA kwa wakala wa kampuni ya mkuza bahati mbaya kuku wao ni majogoo 2.....hao tetea niliokuwa nao niliwanunua lindi pamoja na mme wao....xo kuna makala zinazoelekeza njia bora yakuchagua tetea na jogoo wa mbegu nzuri hata mayai pindi wanapotaka kulalia ili kupata mitetea na majogoo ktk mzao.....kuna wauzaji wengi maeneo tofauti wa kuku chotara ila nzuri kupitia kwa mawakala waliosajiliwa wanakupa uhakika na ikitokea sivyo unauwezo wakudai fidia....uzito ni swala la chakula ukiwa na chakula kizuri wanakuwa wazito na wanataga kwa uhakika hata nyama yao pia inakuwa na radha nzuri kabisa
 
Good lesson...hivi kanda ya ziwa naweza kupata wapi hawa chotara maana nimeangalia makala nyingi za ufugaji kuku wa kienyeji ni kweli hawa ndio wanatija sana... please advise kwa kanda ya ziwa nawapataje
 
Yote ulioeleza in sawa kabisa .ila tuje kwenye faida na hasara ya kuku Wa kienyeji na Wa kisasa nyama na mayai katika afya ya binadamu ,ukichambua na hili utaona afya ya binadamu ni zaidi ya fedha ,aijalishi ni aghali kiasi gani.ushauri usiturudishe nyuma kule dunia nzima sasa unapakimbia ,sasa duniani pote mpango mzima ni ( organic food and cosmetics) chakula ,mifugo vya kienyeji na virembesho vya mwili.kuanzia mbolea,dawa,malisho ya mifugo na mifugo yenyewe,ushauri endelea kufuga Wa kienyewe wacha tamaa ya faida kubwa kwa gharama ya maisha ya binadamu mwenzako.pole pole ndio mwendo
 
Kila wakati huwa najiona ninafuraha sana kuwepo jamii forum mkuu ahsante sana
 
Unajua, na si mchoyo.nice
 
Hata Kama Nikipinga Kwa Hoja Kama Wewe Hufugi Kuku Wa Kienyeji Huwezi Kunielewa Jaribu Kuwafuga Kibiashara Ndo Utajua Jamaa Muongo
Mkuu, usiwe mbishi wa kukataa kujifunza kwa kupinga na kuwasemea wengine.
Hata mimi ni mfugaji, tena ni utotoleshaji pia, nachanganya mbegu na kutengeneza mayai kwa mchanganyiko wa matetea na majogoo tofauti, kisha natotolesha.
Hebu tuambie kwa hoja nini hasa unacho kipinga wewe kama mfugaji
 
Mkuu hao kuku chotara hapo tazara ulichukua kwa bei gani pamoja na ukubwa wao nataka kupata jogoo mkubwa na tetea wawili angalau wale nitakua ndo uzao wa kwanza msaada tafadhali maana Kuna watu hawajibu ukiwauliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…