USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

Mkuu. Njia gani hiyo unayoitumia mpka kuku wa kienyeji wanataga mayai 20-24. Msaada tafadhali mkuu
chakula 2 chakutosha na chenye mchanganyiko mzuri wanataga mayai yenye ganda gumu makubwa kutegemea ukubwa wa tetea pia hawanyonyoki sana manyoya hata baada yakulalia mayai
 
Ahsantee mkuu nakusumbua ila naamini Kuna wengine wanapata somo pia sasa kama nitawachanganya si watalelewa pamoja na hawa waliototolewa maana yake joto atapata kupitia huyu tetea au Kuna namna nyingine ya kuwapatia joto
tengeneza box ama la mbao la kawaida tu wahifadhi humo huwezi kuwaweka na kuku aliyetaga vifaranga wengine ataviua watenge wote huyo tetea aanze kutaga tena
 
tengeneza box ama la mbao la kawaida tu wahifadhi humo huwezi kuwaweka na kuku aliyetaga vifaranga wengine ataviua watenge wote huyo tetea aanze kutaga tena
Sawasawa mkuu.
 
yah mi nilipewa majogoo tupu kama ukitaka tofauti ni vyema huwape mahitaji yako usipewe tofauti
Ahsantee mkuu ila nikitaka hata tetea napata maana hamu yangu niwachanganye jogoo na tetea wake
 
Ahsantee mkuu ila nikitaka hata tetea napata maana hamu yangu niwachanganye jogoo na tetea wake
sina uhakika n by da way natumai wanao ikiwa hawana ulizia wafugaji ulionao jirani huko ipi kampuni nzuri ya vifaranga...mi nilinunua toka kiwanda cha mkuza ....wale niliowakuta wakati ule walikuwa ni vjogoo 2pu
 
safi umenena vyema ila mie ninao matetea wakienyeji niliowanunua mkoani nianzishe mradi mkubwa na mwanzoni walitaga mayai 15 kwa msimu ila nilipofahamu njia yakuchanganya msosi wao walitaga non stop hadi nibadilishe ndo waweze kuatamia ila lazima uhakikishe hawaumwi na kuhusu majoo nilipataga mbegu ya jogoo chotara na niliwafuga kwa miez 9 wafikisha uzito wa kg 2.5 japo sikumaintain chakula....i think with a formular n well care its not wasteful
saidia mimi mkuu msosi wao uliwachanganyiaje... kama ulichanganya virutubisho,je ni mchanganyiko upi huo??
 
saidia mimi mkuu msosi wao uliwachanganyiaje... kama ulichanganya virutubisho,je ni mchanganyiko upi huo??
search kwenye web ya hawa jamaa wameweka mchanganuo wa vyakula vya kuku aina zote na kinafanya kazi kweli sema wengi huwa hatuamini hizi vitu bila kujaribu
www.rldc.co.tz
 
Hata Kama Nikipinga Kwa Hoja Kama Wewe Hufugi Kuku Wa Kienyeji Huwezi Kunielewa Jaribu Kuwafuga Kibiashara Ndo Utajua Jamaa Muongo
Ujajibu swali toahoja kuziattack hoja za mleta post unajua siowote wanaoingia NA condom guest wanazitumia wengi wanaziachaga inga kabla unawasikiaa aisee siwezipiga bila Mpira..so maneno NA uhalisia aviendani..tusaidie ulichofanya WATU wajue kumbe jama kakoseaa avoid kumwita mwongo MTU humu IPO siku utakuja mkuta Mtu wa mwisho anatakiwa kusaini cheki yako
 
Tatizo la JF kila mtu yupo free kujisajiri hakuna screening, Wenye PHD wanaruhusiwa na darasa la saba pia wanaruhusiwa ilimradi unajua kutumia Computer au simu tu.
Hahaaaaa kwataarifa yakooo nenda mikoani ambaoo awajafika lasaba ndio wanauza KUKU NA Mayai yakumwagaa ..ufugaji auitajisana akili mpwaaa...walewanaokuwekea pig booster AMA eggbooster NA mananii unahisi wanaitaji kuwana PhD
 
Kuna jamaa yangu mmoja alinielekeza namna nzuri ya kuku kutotoa mayai yote bila kuacha. Ni kwamba aliniambia ninunue vile vibeseni vidogo vya kunawia then ndan unaweka mchanga kiasi halafu weka mayai yako tayari kwa kuliwa na kuku. kiukweli njia hii nilitumia na imefanikiwa. kwa wafugaji wenzangu jaribuni muone maajabu yake.
Kitu kingine ni utunzaji wa vifaranga baada ya kutotolewa napo hapa kuna changamoto wakati wa usiku kutokana na barid kwa vifaranga hasa kwa wafugaji wa hali ya chini,mm mwanzo nilihangaika but nikapata njia nyingine bora ya kutunza vifaranga wakati wa usiku,nilitenga sehm ya kuwalaza. Hapa unaweza chukua hata box kubwakubwa la kuwatisha vifaranga then nikatafuta chungu!! Nikaweka majivu ndani kwa hio kila usiku nilikua unaweka mkaa wa moto mle ndani ya chungu na kufunika na majivu!! Nakwambieni ndugu zangu wafugaji vifaranga hawapati barid kabisaaa! Na huo moto ulioko ktk hilo jivu utaukuta mpka asubuhi na utatumia kwa kuwashia moto hapo kwa nyumba yako. jaribuni na njia hii muone mafanikio yake na si kukaa ohhh nitanunua vifaranga 500 nianze hapana anza hata na kuku 2 au 3 baada ya mda utakuja nambia. Yangu ni hayo labda hujaelewa uliza tupeane maujuzi.
Barikiwaa sanampwaa
 
Mkuu upo sawa lkn ukitaka kuongeza idadi ya hawa kuku kwa kasi tumia mbinu ya kunyang'anya vifaranga na kisha kuwafuga ktk box ili mama yao apandwe tena na jogoo.
 
safi umenena vyema ila mie ninao matetea wakienyeji niliowanunua mkoani nianzishe mradi mkubwa na mwanzoni walitaga mayai 15 kwa msimu ila nilipofahamu njia yakuchanganya msosi wao walitaga non stop hadi nibadilishe ndo waweze kuatamia ila lazima uhakikishe hawaumwi na kuhusu majoo nilipataga mbegu ya jogoo chotara na niliwafuga kwa miez 9 wafikisha uzito wa kg 2.5 japo sikumaintain chakula....i think with a formular n well care its not wasteful

Una quote post nzima...unaboa
 
yah mi nilipewa majogoo tupu kama ukitaka tofauti ni vyema huwape mahitaji yako usipewe tofauti

sina uhakika sana ila nahisi umeuziwa vijogoo vya layers (vijogoo vya kuku wa kisasa wa mayai) na si chotara. Rangi yao huwa weupe na baadhi wanamabaka mekundu au vyenye rangi ya kanga kanga...
 
Mkuu upo sawa lkn ukitaka kuongeza idadi ya hawa kuku kwa kasi tumia mbinu ya kunyang'anya vifaranga na kisha kuwafuga ktk box ili mama yao apandwe tena na jogoo.
Swadakta mkuu ili kuku kuongezeka kwa kasi njia ya kuwanyang'anya vifaranga nana yao ni lazima.mm ndio njia bora nayo tumia kila wakati nabitunza mwenyewe tena navilaza sebuleni.ila nimegundua sehem ambazo zina mbu wengi nao wanasumbuliwa na mbuhao hivyo mm baada ya kuviweka ndan ya box mda wa kwenda kulala nawafunika na neti! Ili wasisumbuke na mimbu!!!!
Ufugaji wa kuku wa kienyeji hauhitaji elim ya chuo kikuu wala cjui maphd ila ni kujifunza kwa kitendo zaidi.na ukiangalia kwa undani zaid wanaofuga wengi hawana maphd.
 
Back
Top Bottom