Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

Membe na Salma walishazaliwa. Umeambiwa limefanyika miaka ya 90, inawezekana kweli.............hiki kizazi cha Lindi cha miaka ya 90 to date we unakielewa?
Kweli mkuu! Nashangaa sukulifikiria hilo.

Wana Lindi wa miaka ya katikati ya tisini mpaka 2020's wanaotofautianaje na Watanzania wengine?
 
Ooh pwani wavivu hawataki kulima ardhi tele ina rutuba nenda kalime wewe Tena unapewa shamba Bure Kisha ulete mrejesho.
Pana kikundi walitumia milioni hamsini heka mia kulima uvuta wakavuna debe tatu.
Debe tatu? Mkuu, hilo limekaaje?
 
Mmoja alidhamiria kufunga goli dakika ya 89:59, wpmwingine aliingia bungeni akatoa hoja earphone zipigwe marufuku kwakuwa zinasababisha uziwi kwa watumiaji
Mkuu, kwa hapo umeniacha njia panda japo nilitamani kuelewa. Unaweza ukaelezea kwa namna nyingine?
 
1. Umewasingizia hao watu. Hao ni Lindi kweli kweli. Mama kwete unaona yupo vizuri. Are you serious? Are you normal?
 
Huo ndo UKWELI, ikiwa huamini kaa hivyo hivyo.

Jambo muhimu ni kuwa, funguo za kuondoa uchawi huo zimepatikana,

Tutapitia mtikisiko kidogo, yanakuja majanga, Matetemeko, sunami, njaa ,mtikisiko wa Muungano nk nk

Baada ya hayo kupita, Nchi yetu itastawi sana,

Mwiko wa kutawala nje ya mwislam au catoliki utavunjwa, atatawala Mlawi.

Tusubiri.
 
Ehee, baada ya kuukimbia Uchawi sasa hv yuko wapi?
 
Nyerere aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Tanganyika na baadae akawa Rais wa nchi.
 
Ooh pwani wavivu hawataki kulima ardhi tele ina rutuba nenda kalime wewe Tena unapewa shamba Bure Kisha ulete mrejesho.
Pana kikundi walitumia milioni hamsini heka mia kulima uvuta wakavuna debe tatu.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…