GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
- Thread starter
-
- #161
Kwamba alikuwa mchawi akaachanau hakuwa hai kuwa mchawi, Mimi sina jibu. Lakini kuna mambo yanafikirisha:Upuuzi mtupu,watu wanakula mihogo non stop unadhani cyanide itawaacha,watu wanakula michumvi ambayo haina iodine akili waikute wapi?.Hakuna mchawi hapo anaunga kuu doti ili apate umaarufu.
Ukipata nafasi ya kuonana nae nijulishe nami nikamuone.Huyu Shehe Mnyeshani sijui anapatikdana wapi.
Nina hamu ya kumwona na kuongea naye mambo mawili matatu.
Imeelezwa zindiko lao lilifanyika miaka ya 90. Halikumhusu Nyerere.Mbona Nyerere ndiye wazir mkuu wa kwanza wa, Tanganyika na alikuja kuwa, Rais. kama ulivyosema wanaunga dot tu hawa.
Mie pia natamani kumuona na pia ningemuona shuhuda mwingine aliyekuwepo huko lindi ili nimsikie na huyo maelezo yakeHuyu Shehe Mnyeshani sijui anapatikdana wapi.
Nina hamu ya kumwona na kuongea naye mambo mawili matatu.