Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

Kuna mambo huwa yananitatiza. Wengi wananishauri kwamba mara nyingi mipango yangu ya maendeleo niifanye siri,hata kwa rafiki zangu. Sasa nitajuaje changamoto za hiyo mipango? Mimi naona kama nikiwashirikisha kama wanaweza ongezea input fulani.
 
Yote ni mitazamo. Iko hivi toka ulipozaliwa kutoka tumboni mwa mama yako ulizaliwa na ushindani katika maisha, ukisoma habakuki 2:2-4, Mungu anasema njozi zako uziweke wazi na zisomeke.
Hivyo mipango yako kuwa wazi siyo kosa, kosa ni kushirikisha negative minded people.
Kuna mambo huwa yananitatiza. Wengi wananishauri kwamba mara nyingi mipango yangu ya maendeleo niifanye siri,hata kwa rafiki zangu. Sasa nitajuaje changamoto za hiyo mipango? Mimi naona kama nikiwashirikisha kama wanaweza ongezea input fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2018 mwezi Aprili niliandika maono ya miaka mitatu. Nilivyomaliza kuandika sauti ilisikika jiandaye kwa mabaya, miezi 2 baadaye mke wangu akaugua pressure kali sana ambayo imemsumbua mpaka tarehe 3 January 2019.

Uponyaji wa mke wangu sikuamini kama daktari angeweza kumponya lakini Mungu alimponya mke wangu maana katika maombi kuna majibu.

Miezi 6 baadaye nilidhulumia na rafiki yangu 23 milion lakini nilijua ni vita tu napitia katika maisha

Mafanikio kuyafikia yana changamoto sana lakini Biblia inasema katika kitabu 1yohana 4:1-6.
Nimemjua Mungu toka nikiwa mdogo sana.

Hivyo shetani anafanya kazi lakini Mungu wetu ana nguvu na mamlaka juu yake.
Matatizo huuinua imani na ujasiri wa mtu katika maisha na kutupa ushindi mkuu na maadui kubaki wanateseka milele.

Every thing is possible through prayer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Corona tu ni changamoto tosha

Kwanini maombi hayajaweza kutatua changamoto hii?
Aisee suala la korona nafikr ni Mungu mwenyw karuhusu itutese maana maasi ulimwengun yamezidi mfano dhuruma, ushoga, uzinzi, kuabudu waganga kupend pesa kuliko Mungu n.k mpaka tunao tegemea watuombee siku hizi wengi wao wamepotoka.
Mungu akiachilia adhabu lazima ikutese mpaka ukajua ulipo angukia ukatubu then ukaendelea kuishi kwa Amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee suala la korona nafikr ni Mungu mwenyw karuhusu itutese maana maasi ulimwengun yamezidi mfano dhuruma, ushoga, uzinzi, kuabudu waganga kupend pesa kuliko Mungu n.k mpaka tunao tegemea watuombee siku hizi wengi wao wamepotoka.
Mungu akiachilia adhabu lazima ukutese mpaka ukajua ulipo angukia ukatubu then ukaanza kwa upya ndo salama yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona P Didy jana anasali na kuomba msamaha kwa Mungu huko Instagram
 
Luka 10
19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
 
Luka 10
19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Ni kweli Yesu baada ya mfungo mjali alifuatwa na shetani mlimani wewe ni nanzi zaidi yake?? Ayubu mtumishi WA bwana alijaribiwa wewe ni Nani Mzee?? Au ndo ukisoma biblia kidgo unavimba kichwa, sio kwamba siijui hiyo mistari
 
Kuna mambo huwa yananitatiza. Wengi wananishauri kwamba mara nyingi mipango yangu ya maendeleo niifanye siri,hata kwa rafiki zangu. Sasa nitajuaje changamoto za hiyo mipango? Mimi naona kama nikiwashirikisha kama wanaweza ongezea input fulani.
Kweli ukiwaza nje ya box ni kama huu ushauri unaotolewa na hawa watu ni kama lengo ni kuwatenga watu na kuondoa ushirikiano miongoni mwao
 
Ni kweli Yesu baada ya mfungo mjali alifuatwa na shetani mlimani wewe ni nanzi zaidi yake?? Ayubu mtumishi WA bwana alijaribiwa wewe ni Nani Mzee?? Au ndo ukisoma biblia kidgo unavimba kichwa, sio kwamba siijui hiyo mistari
Bila shaka hujaelewa maana ya mstari huo niliotoa.

By the way, hakuna sehemu ambapo huo mstari umesema hatutapatwa na mabaya, ila unasema Yesu alishatupatia amri juu ya mabaya. Ukitaka yakutawale ni uchaguzi wako.
 
Back
Top Bottom