long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Kuna mambo huwa yananitatiza. Wengi wananishauri kwamba mara nyingi mipango yangu ya maendeleo niifanye siri,hata kwa rafiki zangu. Sasa nitajuaje changamoto za hiyo mipango? Mimi naona kama nikiwashirikisha kama wanaweza ongezea input fulani.
Hii Corona tu ni changamoto tosha
Kwanini maombi hayajaweza kutatua changamoto hii?
Aisee suala la korona nafikr ni Mungu mwenyw karuhusu itutese maana maasi ulimwengun yamezidi mfano dhuruma, ushoga, uzinzi, kuabudu waganga kupend pesa kuliko Mungu n.k mpaka tunao tegemea watuombee siku hizi wengi wao wamepotoka.Hii Corona tu ni changamoto tosha
Kwanini maombi hayajaweza kutatua changamoto hii?
Ukiona mtu anaropoka kwamba MUNGU hayupo kaa nae mbali maana ana dalili zote kwamba akili zake haziko sawa.Wanao sema MUNGU hayupo sijui hapo watasema nini ngoja tusubiri tuone
Kwa hiyo tusiwe tunakopesha ?Muhimu sana hata kumkopesha MTU ni mbaya sana mwingine anakuja kuangalia je umekwama kiasi gani ili afurahie zaidi
Kama ujumbe wake umeupata inatosha
Nimeona P Didy jana anasali na kuomba msamaha kwa Mungu huko InstagramAisee suala la korona nafikr ni Mungu mwenyw karuhusu itutese maana maasi ulimwengun yamezidi mfano dhuruma, ushoga, uzinzi, kuabudu waganga kupend pesa kuliko Mungu n.k mpaka tunao tegemea watuombee siku hizi wengi wao wamepotoka.
Mungu akiachilia adhabu lazima ukutese mpaka ukajua ulipo angukia ukatubu then ukaanza kwa upya ndo salama yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuwa makini na circle yako Mkuu,Kwa hiyo tusiwe tunakopesha ?
Ni kweli Yesu baada ya mfungo mjali alifuatwa na shetani mlimani wewe ni nanzi zaidi yake?? Ayubu mtumishi WA bwana alijaribiwa wewe ni Nani Mzee?? Au ndo ukisoma biblia kidgo unavimba kichwa, sio kwamba siijui hiyo mistariLuka 10
19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Asante Mkuu, inakuja karibu pia Kwa ushuhuda wakouzi mzuri sana huu ..!! unaweza kuku jenga namna moja ua nyingine . mkuu na subiri yakoo ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Mkuu, hawa ndo wabongo ambao hawajapata bahati ya kurithi uchawi Ila wangepata hii fursa wangepokea harakaharaka na kuanza kuchawia, hawana Jena, endelea kuwapa dawa Yao mkuuKama ujumbe wake umeupata inatosha
Nimeona P Didy jana anasali na kuomba msamaha kwa Mungu huko Instagram
Kweli ukiwaza nje ya box ni kama huu ushauri unaotolewa na hawa watu ni kama lengo ni kuwatenga watu na kuondoa ushirikiano miongoni mwaoKuna mambo huwa yananitatiza. Wengi wananishauri kwamba mara nyingi mipango yangu ya maendeleo niifanye siri,hata kwa rafiki zangu. Sasa nitajuaje changamoto za hiyo mipango? Mimi naona kama nikiwashirikisha kama wanaweza ongezea input fulani.
Bila shaka hujaelewa maana ya mstari huo niliotoa.Ni kweli Yesu baada ya mfungo mjali alifuatwa na shetani mlimani wewe ni nanzi zaidi yake?? Ayubu mtumishi WA bwana alijaribiwa wewe ni Nani Mzee?? Au ndo ukisoma biblia kidgo unavimba kichwa, sio kwamba siijui hiyo mistari