Ushuhuda, life starts at 40

Ushuhuda, life starts at 40

Maisha hayapo hivo kabsa coz Kuna wanao fanikiwa before 40s Kuna wanaofanikiwa after 40s yote Kwa yote kila mtu ananjia zake,, waswahili wanasema mafanikio hayana formulary some time is true
Au ndio maendeleo hayana chama 😀
 
Maisha hayapo hivo kabsa coz Kuna wanao fanikiwa before 40s Kuna wanaofanikiwa after 40s yote Kwa yote kila mtu ananjia zake,, waswahili wanasema mafanikio hayana formulary some time is true
Hii ndio fact yenyewe maswala ya oooh cjui 40's. Ndio kuandik tu ktab cha njia tatu za kua tajiri na hela ya kupublish umekopa. Aaaah[emoji53]
 
Back
Top Bottom