Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Siyo kujivika upepo. Ni kujilisha upepo. Nyie wakristo hamsomi biblia yenu mkaelewa.Kwa lipi Mpaka nikupe limbwata? Pesa,dudu,sura au sijui nn.Mi nkiwaza tu kifo huwa sitaki kubeba dhambi za mtu kiboya na ndo maana nakosewa nakausha sifanyi chochote nikikosea naomba msamaha.Ujinga ujinga tu ....ubatili mtupu na kujivika upepo.Tunapita wandugu😜