Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

MARA MKE WAKO ANAENDA KULALA KWA JAMAA ZAIDI YA MARA 3 UPO TU
Mkuu kuna comment yangu nimesema kuwa alivyoenda kwa jamaa for 3 month sikumruhusu tena kurudi home alitaka kurudi home baada ya 3 months ila nilimkatalia. Akawa anakuja tuu home kwa kisingizio kuleta watoto waje kuniona.
Na mimi mda nilishaanzisha mahusiano na mtu mwingine.
Ni story ndefu bro
 
Pole
 
Pole sana mkuu.
pole sanaaa
Hamna somo baya kama somo la kujifunza kwa ubaya.
Ila ninakila sababu ya kulichukua hili
 
Wewe jamaa ni mwamba
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]🥲 ngumu kumeza
 
Mama mkwe alisema hayo maneno binti yake nilikuwa tayari sikai nae na mimi nilishaanzisha mahusiano nje tayari na huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa.
Fursakibao yupo sawa. Soma hiki ulichoandika hapa;👇

Niligombana nae sana mpaka Mama yake yani mama mkwe wangu akaniambia kuwa" Mwanaume acha wivu kwani ulipo muona mtoto wangu alipata mtoto kwa njia gani, hujui kuna mwanaume ndo alimpatia baraka ya mtoto, acha wivu wa kijinga , yule ni kama mume mwezio muheshimu".

Baba wa binti akamwambia binti yake kuwa wewe umeolewa heshimu ndoa yako sawa. Alivyorudi home akaongeza simu kuwasiliana na Dada ya jamaa wanaongea kuhusu mtoto na kufungua biashara zao na mambo mengine tena wanaongea mimi nasikia kabisa nilivumilia kama 5 months naangalia tu na kuvumilia.

Nikiaangalia page za facebook za Dada wa jamaa wao wanopost tu picha za Mkewangu na mtoto wa kaka hayo na kuandika maneno kuwa " Hata kama ni mume mpya acha wivu umekuta watu wanamahusiano yao".

Kuna siku nyingine dogo alikuwa anapata kipaimara sherehe ilifanyika kwao jamaa sasa sikupewa tahari nilikuja kuona mke wangu kawepa mapicha picha whatApp status.

Tuligombana sana coz zile picha zilikuwa na maudhui mambayo ukiangalia ni kama mke na mume. Daaa nikikumbuka kapata hasira sana. Kuna siku ilikuwa ni siku ya father day kama alichukua pesa yangu niliyompa ya kufanyia watoto shopping anaenda kununua zawadi za mzazi mwezie na ile pesa ilikuwa ni kama 340k.

Nilikuja kujua baada ya kuona status ya mzazi wenzie kupitia simu ha mke wangu na watoto hakuna chochote walichofanyiwa. Nikamuuliza akaniambia ukitaka pesa yako nitakurudishia.

Nisiwachoshe ila nilifanyiwa vitibwi vingi sana tena sana na baby dady, mtoto mwenyewe , baby mama, dada za jamaa, na mzazi wa kike wa mke wangu.
 
Mtoa mada pole sana, na hakika ungerudiana na huyo mke malaya jamaa angeendelea kumkaza km kawaida
kabisa mkuu hii situation ilishawahi nikuta japo sikumuoaga...ilikuwa ukigimbana nae anatafta ex wake ambae nae nu mume wa mtu alizaa nae. baadae anakuja kukuomba msamaha kwamba alipitia. nikaona huu ujinga nikamwaga chini mpaka leo ananililiaga nimrudie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ndio unataka kupotosha. Maisha ni vile mtu anavyochagua yawe, na jamaa Kwa upande wake amechagua hivyo.

Au maisha yapoje mkuu?
kuna mtu anachagua awe na mke ambaye atakuwa anapigwa mashine na mke huyo kuleta pigo za dharau? hapana inatokea tuu kama ajali. uamuzi ni wake azike hapa dar au asafirishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…