Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Hakuna upendo wala nini,ni huruma zenu za ajabu ajabu,x ni x tuu hata ukikuta kagongwa na gari jifanye kama hujamuona.

wanawake sio kama nyiee... mwanamke akikupenda kakupenda kweli sasa swala la X wake kurudii na kuomba msamaha wa kipuuzi tunaona kama wamebadilika[emoji119][emoji119][emoji119]
 
kumbe anajua kuwa single maza ni mkosi!!!

huko uchagani kijana akioa single Maza inahesabika ni balaa kijana amejichuria! kiukweli masingle maza hawaaminiki. hamna mtu atakubali kijana wake aoe single Maza ata kama huyo kijana alishakuwa na mtto before.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna upendo wala nini,ni huruma zenu za ajabu ajabu,x ni x tuu hata ukikuta kagongwa na gari jifanye kama hujamuona.
Huu msemo wa kuonyesha kumchukia X waliuanzisha makusudi ili kuonyesha mwanamke akishaachana na mtu kinachobaki ni chuki wakati ukweli ni kinyume chake kuwaaminishi warithi wa mikoba ili kuondoa wasiwasi.

Huu msemo ulikua ni msemo wa ghiliba kuwapumbaza wenye akili ndogo, ila tujuacho sisi X is for life.
 
Jamaa anaenda ununio kuwaangalia wakila Bata kwa furaha, then anawahi kumsubiria home[emoji28][emoji28]

na bado amewafolo mpaka mawifi wa ex wa mkewe[emoji23][emoji23][emoji1787] anasoma na vijembe vyao FB[emoji38][emoji38][emoji38] huyu achunguzwe[emoji119][emoji119]
 
😂😂😂😂

Jina langu mimi NDUGUSUKULUKUCHU

narudia tena NDUGUSUKULUKUCHU....in Johnny Walker's voice
 
Kumbe hadi wenyewe wanajua kuoa single mother ni mkosi
 
Sawa.
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta,Mungu akufanyie wepesi
 
protocol uliyoiweka kuwa kuhusu kuona watoto wake inadhihirisha ulivyo muungwana. uwe balozi mwema kwa vijana wengine wasikurupuke kuoa mke wa mtu/wake za watu.

Kuoa tu mwanamke ambaye si bikira inaleta shida sana kwenye ndoa maana akikutana na aliyemtoa bikra uwezekano wa kumvulia nguo ni mkubwa sana,......inakuwaje kwa aliye zaa naye?

vijana waamshwe!!
 
We jamaa unatia hasira yan maelezo yako yanatia hasira sana iv kumbe kuna wanaume wajinga nawahovyo km ww nlikua sjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…