Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Single mother au father mzuri na utakae dumu nae ni yule alofiwa Mume/ mke apo mtaishi kwa amani ila hao w
 
kuna mtu anachagua awe na mke ambaye atakuwa anapigwa mashine na mke huyo kuleta pigo za dharau? hapana inatokea tuu kama ajali. uamuzi ni wake azike hapa dar au asafirishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hakuna anayechagua, ila baada ya kujua, yanayofatia ni uhamuzi binafsi wa mtu. Kama ambavyo mwanetu hapa alivyochagua kuvumilia kwa muda.
 
Ndefu sana sana uwe unagawa vipande
 
Ila pole sana.
Katika jambo namuomba Mungu ni niwe na moyo WA kuvumilia hivi
 
Pole sana kijana.
 
Wee jamaa mpumbavu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee umemaliza Kila kitu [emoji3][emoji3]
 
Kwenye m1 wawe 5000 hpna aisee lbda 900k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…