Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ukikuta mwanamke kazalishwa, we naye mzalishe ila usimwoe kamwe.

Akiuliza mbona hivi mwambie kwani kuna ubaya gani akiongeza mtoto mwingine maana tayari keshakuwa naye.


Kamwe siwezi OA mwanamke mwenye mtoto, sana sana atazalishwa tu
 
Pole na hongera kaka.
Binafsi nakupongeza kwa msimamo wako wa kutorudi nyuma. Nakutakia ndoa njema yenye amani na upendo
 
Umecheza kiume asee single mother daah To yeye umesikia hii
 
Pole sana wale ambao hawajaoa bado ushauri kabla ya ndoa ufanyie sana kazi utajuta. Wewe mama mzazi alikupa ushauri mweupe sana. Upendo uliooneshwa ni kwaajili ya ndoa ifungwe sio wewe.

Watu wakizaa na wewe ukaoa mke huyo anayeshikilia game hapo ni baba wa yule mtoto.
 
Duuh huyo mwanamke alifanya ujinga sana....na ukute kabla ya huyo dada kukupata alikuwa amepauka huyo jamaa yake alikuwa hamjali...
 

Siku jamaa likikushika ww ndo utatoa utelezi, usisahau kuja kutoa ushuhuda hapa pia
 
Wanaume wa Dar mnazalaulika sana kwenye haya mambo. Mwanamke anaomesha hufrukutiii....afu sure jamaaa kashaambiwa weakness zote zakwako Koo anakuona boyaa.

Yaa wanawake wengi Hawa:
1.Temaa chukua chuma mpya, form 6 wamemaliza wabichiiiii.
2. Lea wanaooo....huku ukiishi kiseraaa.

NB: mwishoe wakuandalie plan ufee wawe huruuu.Dar kwetu Tariiime jamaaa angelikua down so kwazeleu hizooo😀😀😀🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…