Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Power of limbwata.
Ukioa single mother, kitu Cha kwanza kabisa anakuendea kwa mganga uwe 'yes man' halafu Sasa subiri utakavyopikiwa na juice ya chupi zake chafu.
 
Watu wengine buana!
Huwa mnahitaji ishara gani ili mjue hampendeki?
Ungekufa halafu nduguzo wangemsingizia shetani.
 
Siku zote ukitaka kwenda kuoa sehemu mchunguze mama mkwe ana nguvu hapo kwenye nyumba?
Akiwa yeye mwamuzi hapo umejitafutia balaa kwa mikono yako,,,!
Hapo uliteswa na mama mkwe mwenye Tamaa asiye na Akili

jambo jingine umepigwa bakora kuto msikiliza mama yako mzazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Muda huu ndio muafaka kabisa kipindi wanalia lia kuomba huruma yake ndio mda wa kuwatafuna mmoja baada ya mwengine kwa ahadi kuwa atarudiana na dada yao 😀😀😀
Una watafuna kiroho safi wanakuja kustuka ushapita na wote
 
Baada ya kuona visa kibao ambavyo mwanaume lijali angechukua maamvuzi in early stages, nimeacha kuisoma.

It is eidha Chai ya baridi, au ka ni kweli basi wanaume tushapoteza mwenzetu hapa!!
 
Ubaya wa mahusiano ni kwamba, watu huwa wanatumia matukio mabaya yaliyowakuta wao au watu wengine kutengeneza general conclusion. Ila ni nadra kukuta wanatumia matukio mazuri yaliyowakuta wengine au wao kutengeneza conclusion ya kitu hicho hicho.

Kwa ufupi majority wanabase kwenye negative side ya vitu. Labda ni kutokana na kuwa, maumivu ndani ya moyo huwa yanadumu kwa muda mrefu kuliko furaha.
 
Pole sana kaka kwa yaliyokukuta..maamuzi yako ni sahihi shikilia hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…