Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ila kiukweli haimake sense kwa kijana kuoa mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwenzio tena aliye hai wakati mabinti wasio na watoto wako zaidi ya milioni.Ukweli ni kua huyo mwanamke na aliyemzalisha kupitia huyo mtoto wana agano la milele na hata ufanye nini hauwezi kuliondoa....Lolote likukute tu unayejitoa ufahamu.
 
Na mwanaume kuwa na mtoto ni sawa?
 
Pole Mkuu... Hakika saiv roho ishakomaa.... Sema fanya kama unalipa kisasi hivi... Mtafute Mke wA jamaa alafu mpangie bajeti nzuri. Unahakikisha mpaka jamaa na yeye anajuaa
Umeniwahi acha tu nikazie hapa...yaani mleta mada hakikisha unamla mke wa jamaa ikiwezekana umle mpaka tigo yaani fanya ufanyavyo uhakikishe anapagawa mpaka ndoa yao iwe na ugomvi usioisha.
 
Lakini kwenye kikao cha mwisho cha wanaume tuliosoma Cuba tulikubaliana kwamba usioe! Na hata ukioa basi usioe kabisa single mother! Na kama utamuoa basi hakikisha kwanza amekuonyesha kaburi la mzazi mwenzie, cheti cha kifo, picha za msiba, na uthibitisho wa serikali ya mtaa ikiwa kweli jamaa alikufa, ikiwezekana kaburi lifukuliwe uhakikishe uchukue hata mifupa ikapimwe DNA kuhakikisha kama kweli ni yeye!
Sasa nashangaa wewe ilikuwaje ukaenda kinyume na maazimio ya kikao au huna utaratibu wa kuudhuria vikao vya kitaifa vya wanaume?
 
Si afadhali we umejua kuwa alikuwa na watoto kabla ya ndoa kuna mwana alikuja kujua kuwa mwanamke alikuwa na watoto watatu siku wameachana.
 
Aisee huyo mwanamke anakudharau sana ila awdwe kwa kuwa uliyanguliza Nyehe mbele akakuona we fala tu.

Mwanamke hana ruhusa ya kuita mtoto jina hata ukikausha anatakiwa akuulize wewe. Sio ubabe bali ni heshima.
 
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Hao mawifi zake walikuwa makuwadi tu.

Watakaopata tabu ni watoto wako mapacha ,inabidi wakikuwa uwachukue uishi nao mwenyewe maana ataanza kukusumbua na kuwatumia watoto kama fimbo ya kukuadhibu nayo
 
[emoji3][emoji3] daah kazi kweri-kweri
 
Nikamuuliza kurikoni mbona vyombo ni vingi hivyo akaniambia kuwa walikuja Wageni hapa home, nikamuuliza akina nani akaniambia ni wadada wawili, kumbe walikuwa ni Dada za jamaa walikuja hom
Hili tukio ni kweli au unatuuzia Chai yaani hadi familia nzima wa msela walikuwa wanakudharau kiasi hiki? Wanakuja nyumbani tu kama vile wewe ni Kaka yao wakati wanajua ni Mke wa mtu?
 
Hili tukio ni kweli au unatuuzia Chai yaani hadi familia nzima wa msela walikuwa wanakudharau kiasi hiki? Wanakuja nyumbani tu kama vile wewe ni Kaka yao wakati wanajua ni Mke wa mtu?
Huyu mleta mada atakuwa mpemba yaani ule upole wa kipemba halafu anaonekana alishikwa sana na mwanamke
 
Mke wa mtu huwa ni mtamu mpaka siku utakapoambiwa ukalie chupa huku umepakwa reizi na kisha kupostiwa watsapp dunia ikuone
 
Kipindi kile jamaa alikiwa hajaoa bado. Sasa hizi simu za dogo kutaka kuongea na Baba yake ikawa ni kero kwangu, nikamwambia mke wangu ni vyema mtoto ukamwambia sio iwe kila siku tuu, akanijubu yule ni Baba yake anahaki ya kuongea nae mda wowote.
Inaonekana hiyo Mshikaji anampenda sana mke wako na Mwanaye lakini mbona hakumuoa?

Then na huyo MwanMke anaJiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…