Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

kweli pimbiiiiiiiiiiiiiiiii

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wapuuzi sana ndoa vinataka ila vinavyobenua midomo kwani kuolewa kitu gani🤣🤣🤣🤣
Sasa huko utakuta vikiombwa hela vinatoa ile uliyompa wewe mume wake
Wajinga sana..ndo maana tunaamua kuwapiga ndogo
 
Usaliti kwa wanawake upo Tuu hata kam ajazaa ILA SASA

KWELI MWANAMKE UNAPATA SECOND CHANCE UNAOLEWA SIO KUZALISHWA THEN UNA CHEAT MBAYA ZAIDI NA ULE ZAA NAE ALIE KUTELEKEZA NA HATA HUDUMA HAKUW ANAKUPA [emoji613][emoji613][emoji616][emoji616][emoji616]
DAH HUKI KIUMBE NI KAZ[emoji106][emoji106][emoji16][emoji16]
 
Pole Mkuu... Hakika saiv roho ishakomaa.... Sema fanya kama unalipa kisasi hivi... Mtafute Mke wA jamaa alafu mpangie bajeti nzuri. Unahakikisha mpaka jamaa na yeye anajuaa
Duuuh ushauri wa hovyo huu, na mke wake wa Sasa aliyenae akijua itakuwaje ?

Ushauri wa hovyo huu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana ndugu sema hamchukui ushauri wa wadau wanaposema ukioa mke mwenye mtoto hakikisha unaona kaburi la baba wa mtoto huyo.
 
Jamaa una moyo wa chuma, na kwa moyo huo sioni kama mmeachana bali mpo likizo fupi tu, binafsi siwezi kuvumilia ushenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…