Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Pole sana kwa uchungu, ingekuwa ujaoa ningekuambia samehe sahau ishi na huyo mke wa mwanzo uliyezaa nae mapacha
 
Ukioa au olewa na mtu mwenye mtoto tayari wivu wa Nini mwenzio akikumbushia wakati anaijua ndani nje hadi kuzaa nae Tena ilikua ndogo kabla yako.
Mtu mwenye mtoto ukioana nae acha wivu.
Waliozaa Huwa awaachani
 
Hii kitu nashukuru Mungu ilibaki kidogo nidumbukie na miguu yote ni Mungu hakutaka tuu mja wake nioe single mama sababu nilishatoa na mahari nusu ila baadae akasema haitaji ndoa tena,sasa hivi namshukuru Mungu sana
 
Hii kitu nashukuru Mungu ilibaki kidogo nidumbukie na miguu yote ni Mungu hakutaka tuu mja wake nioe single mama sababu nilishatoa na mahari nusu ila baadae akasema haitaji ndoa tena,sasa hivi namshukuru Mungu sana
mkuu mshukuru sana, mimi nilikuwaga sio mtu wa mademu!

single maza mmoja akatokea kunipenda mahali ambako nilikuwa nafanya kazi nae alikuwa maeneo hayo hayo akifanya vishughuli kama msaidizi wa salaaon ya kike!

aka fall in love to me. sasa akanivuta mpaka nikaingia mzima mzima yalikuwa ndio majira yangu ya kuoa.

tuingia kwenye mapenzi akanieleza ukweli yeye alizaaga na mume wa mtu ambaye kwa maelezo yake alikuwa akifanya kazi kwake na baba yake na huyi mwanamke alikuwa mgonjwa wakakubaliana kama anataka amsadie kumponyesha baba yeampe uchi ndo akabeba mimba yake ( kumbe alinidanganya) akaja akaishi na jamaa mwingine ambaye alikuja kuzaa nae watto wengine wawili.

akanihakikishia hana mwasialiano kabisa na hao wanaume. (baadae nilifumania sms kwenye simu yake mume wake wapili ilikuwa haipiti wiki bila kujuliana hali) mume wa pili nae naona ni bwege tu maana mwanamke yuko na mume wakwanza ambae ni mume wa mtu ambaye baada ya kuachana na jamaa mme wa kwanza alimpeleka chuo cha ususi baada ya mwanamke kupigika


nikawa namlipia kodi na vitu vingine kila nikifiki4ia kumuoa nachoka (kumbe Mungu ananiepushia)
siku moja tumegombana viugomvi vya kawaida ambavyo havikosekaniki hapo nyuma nilikuwa simpi hela nyingi kama mwanzo.
baada ya ule ugomvi hazikuisha siku tano niliona amekuja huyo aliyezaa nae katika eneo la kazi wakapanda gari jioni wakaondoka.
siku hiyo usiku wangu ulikuwa mzito.

hapo kabla niliwahi kumwambia maza angu nataka nimuoe msichana mwenye mtoto. aliniambia unaoaje msichana mwenye mtoto na wewe ni kijana (wakati huo nikiwa kijana) akaniambia huyu ni dada mwenye shida kama umempata uko nae ili umtunze yeye na bwana wake (aliyezaa nae watto wawili) ni maisha tu yamewashinda.


Single maza akikupenda ni shida tu zimemleta wala hamna kingine na kawaida huwa wanawasiliana na walio zaa nao. ndoa zinachangamoto lakini ukiingia kwenye ndoa na single maza changamoto ni mara mbili yake ya zile unazosikia kwenye vijiwe vya kahawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo wakati mke alikuwa ameolewa huku mke alikuwa anachepuka na ex wake ambaye n imzazi mwenzake? jamaa nae anamtetea "usimwite mke wangu malaya" mwanaume ukiwa mjinga ni mzigo kwa familia.
mwanaume mjinga hawezi kuchagua mke wa kumwoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke ana watoto wa 3 huyu wa 3 ndio wa jamaa anayeishi naye
 
Duh yaani hayo yote unavumilia, kweli binadamu tumeumbwa tofauti, mi kwa kauli ya kitendo cha dogo kuropoka tu eti baba atakuja kulala lini Tena movie inge kuwa imeisha hapo.
Ila umelia timing nzuri mwisho wa siku kakosa pote, kabaki na mizazi yake yenye akili finyu kama zake.
 
Nazidi kuamini ile kauli kwamba Ukioa single mother ni sawa na Kuingia Uwanjani umetanguliwa Goli moja tena Na Ile Bayern Munich Katili ya Hans flick
 
Tuliozaa kabla ya ndoa tunasimangwa humu balaaa[emoji32][emoji32]
Wewe hata usijali, nipo kwaajili yako. Ila ujitahidi kuchangamkia fursa. Tunaowakubali singo maza tumebaki sita tu Africa nzima.
 
Jamaa boya kweli, mie mnasemaga hapa mzabzab sina akili, kweli sina akili lakini huyu kanizidi 🤣🤣🤣🤣🤣

Mambo ya mahusiano hayahitaji maamuzi ya hasira! Yanahitaji busara sana, ukichukulia hasira utajikuta umefanya maamuzi si sahihi ukaharibu kila kitu even maisha yako!!
 
Inatia huruma sana na kusikitisha pia.
 
Fanya mpango ulipize kwa mke wa jamaa mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…