Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Yamekukuta wewe, soo bure
 
Dah
 
Dah!...
 
Baba yako na mama yako walijua udhaifu wako wakajua tu huyo single mama atakunyoosha. Huenda walikusema sana kwamba hili toto mbona dhaifu hivi?
Asiyesikia la mkuu....
 
Reactions: Tsh
Mwandiko wa darasa kwanza
Ila jua tu ex wake alimuharibia halaf akaoa
 
Aisee yaani kwa kusoma tu huu uzi pekee tayari nimepata hasira. Kama ningekuwa mimi alafu mwanamke alete dharau kama hizo, kwa hasira zangu ningekua segerea na yeye angekuwa futi 6 chini. Moyo wa kuvumilia upuuzi na upumbavu sina kabisa naenda straight to the point. Eidha angefanya kwa uoga na kujificha ficha na sio live kama kwako au asingethubutu kabisa baada ya kujua anaishi na psychopath.

Anyways, point taken. Mimi nasema mtu anayeoa single mother ni hana akili, amekosa baba au mama na hopeless milele.
 
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Jamani mimi Kuna single mother ananikubali vibaya mno mpaka ananiambia madhaifu ya bwana wake, nilimwambia kuwa kama kweli Hana mahusiano na mzazi mwenzake ampigie simu na amwambie kuwa kwa saivi asiwe anampigia simu usiku na kumwambia kuwa saivi ana mahusiano mengine na kweli akafanya hivyo na wamekubaliana kulea mtoto Tuu na simu awe anapiga mchana kuulizia habari za mtoto,,asa wadau mmenishtua, vipi nimwambie apite hivi aachane n Mimi au mnasemaje?

NB,bado hatujaoana
 
Mkuu nakushauri punguza mazoea taratibu ili umuache bila maumivu.
Maana hakuna utabidi umuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…