Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Wewe ulikuwa mjinga kuliko muanzisha uzi
 
Single Maza
The forgotten evil spirit
 
pole sana. Binafsi,naomba Mungu watoto wangu wasizalie nyumbani, kwasababu najua shida itakayotokea. mwanamke ukishalala naye, mbegu yako ikatunga hadi mimba, huwa anakuwa na connection na wewe maisha yake yote. huu ndio ukweli mchungu. kwa sasa mimi ni mtumishi wa Mungu. ila zamani nilikuwa duniani, nimezaa na wanawake wawili tofauti wote michepuko, wakati huohuo mke wangu wa ndoa amenizaliwa watoto 6. It is something siachi kuregreat kila siku though nikiwaangalia watoto wananipenda na ninawapenda, ila sikai nao.

kitu nilichojifunza ni kwamba, kati ya kitu single mother huwa anatamani ni mtoto wake kuwa karibu na baba yake. hilo ni la kwanza. akipita sehemu akaona mwanaume anatembea kashika mkono wa mtoto wake, anampenda, huwa anatamani hilo pia lifanyike kwa mtoto wake. anatamani mtoto wake apendwe na baba. Ajabu yake pia, kwasababu mlishavuana nguo za ndani kiasi kwamba hata ukisinzia tu unajua ramani zote za maumbile yenu, hata akiolewa anatakiwa ajitahidi sana kukaa mbali na baba wa mtoto kwasababu akikaa karibu tu haichukui dakika 10 tayari watavuana nguo tena, hiyo haiihitaji discussion ni sawa tu na unavyomvua mkeo chup, hakuna anachojificha kwako wala wewe kwake, dakika sifuri tu mshalala tena.

kwa habari ya kupiga simu, binafsi niliamua kukaa nao mmoja mmoja kwa wakati wake, na kuwaeleza kwamba mke wangu mlimkuta, ninyi ndio wenye shida. awali walipokuwa kwenye 20s walisumbua sana na kila mmoja alijaribu kuvuruga ndoa ili yeye aingie. wote wanaishi hapa Dsm. walipofika 30s huko baada ya kuparuana sana hadi ustawi wa jamii kwasababu ilibidi nistop baadhi ya huduma ili pawaume waache kumwumiza mke wangu, wakanyooka, tukakaa nao kikao na kuwaambia sitaki mpige simu kijinga, mida nikiwa nyumbani mnaijua, na ni mimi nitakayeanza kuwapigia ama la, andika msg whatsapp kwamba mtoto anataka kuongea ili mimi nitafute nafasi nzuri kumpigia mtoto. Wakaelewa, watoto wakaendelea kama kawa, nikawasomesha shule bora zilezile nilizowasomesha watoto wa kwenye ndoa ili wasije kuwa tofauti, na ndugu zao huwa wanaenda kuwachukua na kuniletea sehemu nakaa nao na wameshafikia hatua wanatembea hadi nyumbani. Mke wangu ilibidi nishuke mno ili ajue najutia kosa, na the way nilivyowatreat ilifika mahali akanisamehe na akaamini hakuna threat tena hivyo hata watoto hao anawapenda kama wake tu. watoto wenyewe washakuwa wakubwa hawahitaji kutumia simu ya mama kupiga kwangu, wao wenyewe wanapiga simu kwangu moja kwa moja na wanamsalimia na mama yao na ndugu zao (watoto wangu).

Kama mwanamke sio muelewa, hakuna kitu kigumu kudeal nacho kama mtoto wa kambo. na ni vigumu sana kwa single mother kuacha kumvulia nguo babamtoto kama wapo kwenye mazingira anayoamini mumewe hatojua. hata akiteswa kwa mumewe wakati mwingine anaweza piga simu kwa baba wa mtoto ili afarijike kidogo. kwa bahati mbaya huu ndio ukweli mchungu, labda wale waliookoka wamebadilishwa moyo, ila hawa wa kawaida wanywa pombe hawa, kwa kweli Mungu awasaidie tu.
 
Single mom wanavitimbwi lkn huyo wako alikuwa bogasi kiwango cha lami..
Wanawake wakipewaga upendo wa kweli hua wanajisahau wanafikiri kila mtu anaweza kuwapenda kiwango hicho,sasa tuseme kwa huyo mwanamke saivi anakuwa ni mke wa wanaume watatu tofaut....maana hatabaki hivyo,na mwenye upendo wa dhati kwake ni huyo wa pili aliembebea udhaifu wake wote,halafu mapungufu ya huyo wa pili alikua hajiamini mwanzoni ndio maana alikua akivumilia vituko vyote,Ila alipokuja kupata chombo kingine kikamfanya ajiamini kwmba ni mwanaume anaweza pia
 
There is 100 mil reasons not to marry a single mother,let along to marry.
 
Unachokitafuta UTAKIPATA
 
Ila ulifanya makosa kukaa naye muda wote huo huku akiwa anakupiga matukio......usimuonee huruma mwanamke hata siku moja kwani yeye ni mtu mzima na alifanya vitu akijuwa anafanya nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe hautaki mikosi kabisa
 
Cha ajabu ni kwamba wengi wanaoshambulia single maza humu ndani ni zao la hao hao single maza,au ukute familia zao zimejaa wanawake waliozalishwa na kutelekezwa bila ndoa.Nyiee malipo ni hapa hapa duniani.Endeleeni kubweka.
 
Tatizo ukiwa na hela kila mtu ana take advantage of you.
Kuoa maskini noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…