Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Aiseee!!!...
 
Vip hawa ambao hawajazaa ila wametolewa bikra tayar.

Nao siwatakua wanamuwaza aliewatoa bikra?

Mi naona saiz tufanye mabadiliko ya katiba ili tuwetunazingatia na bikra.
Yale Yale aisee kuna jamaa angu anamgonga dem ambaye January anafunga ndoa lkn had November hii anakula mzigo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…