Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Pole mkuu,hawa watu huwa ni pasua kichwa,sisemi wote ila ni wa hovyo sana.Niliwahi kusema kuwa wanakuwa kama wameathirika kisaikolojia,pia makucha yao huwa wanayaficha pale mwanzoni ila ukishaishi nae baada ya muda ndio utagundua upuuzi wao,hapa pia ndio utagundua aliyemzalisha mwenyewe hakutaka kumuoa kwakua alishaona madhaifu yake,na kwa uboya wake anaendelea kujidanganya kuwa jamaa anampenda kwahiyo akirudi kuomba penzi anaachia....
 
Safiiiiiii sanaaaaa
Hii ndo dawa ya wanawake wapuuzi na wapumbavu....
Neno la Mungu linasema ," mwanamke mpumbavu atabomoa nyumba yake Kwa mikono yake mwenyewe"
 
Duuh! pole sana. Usije ukafanya kosa la kurudiana naye hata siku moja kama unataka kuishi maisha marefu na yenye afya. Lea watoto wako. Tena hakikisha unawachukuaa na unawalea mwenyewe kama unataka kuvunja ukaribu na mahusiano naye.
 
Wanawake wanazarau ndani ya ndoa alafu unakuta kwao wanamaisha magum mlo mmoja afikirii akiachika wataishije dawa ni kufukuza fooloshi single mothers like her
 
Tusibebeshane lawama kwa kweli. Kila mtu ana akili yake kuhukumu single maza wote kwa ujinga wa single maza wachache sio uungwana na ninapinga vikali sana hio tabia.
 


Kuna watu kwa 1000000 wanazaa bila kupanga.
 
Mimi nafikiri you men should focus kwenye kustopisha u single mother kuliko ku demonize ma single mother.

Maana ni bora hawa mnaowasema wawe toleo la mwisho. Watakuwaje toleo la mwisho wakati "mademu" hamkosi?

Siku nikiona malalamiko kila mahali ya ukosefu wa "mademu" ndo nitajua janga la single mother limeisha. For as long as kila mtu anajikuta shababi ana story mia kidogo za ma ex na ma dame zake.....me nimekaa hapa!


Wakana Mungu hawajalala, wanatangaza injili ya ukana Mungu kuliko wanainjilisti wenyewe, God doese not exist, everything is permitted!

Ni fursa ya wazi kabisa ya kufungua pharmacy naombeni mtaji!

Wenye kuanzisha NGO za ku promote abortion pia naombeni kazi ya kusambaza vipeperushi!

We got some innocent girls to welcome to the world of filth!
 
Ukikuta mama mwenyewe alikuwa single maza hapo vipi?
Bado, hawezi akakuruhusu kamwe. Wanaopigia kampeni kuwa its okay kuoa mwanamke mwenye watoto either ni mwanamke mwenye mtoto amezalishwa hivyo anataka anaona mtoto wake anastahili kuolewa au yeye mwenyewe ni single mother.
Hata mama mwenye watoto wawili mmoja wa kiume na mwingine wa kike ikitokea mtoto wake wa kike ni single mother atapambania kwa nguvu zote bint yake kuolewa lakini mtoto wake wa kiume akitaka kuoa single mother atapinga hata atajiua.
 
swali unazini vip kabla ya ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…