Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mungu katuumba sisi wanadamu Kwa akili tena Kwa mfano wake, na hii iko bayana ya kwamba mara kadhaa anatukaimisha majukumu yake, na ametupa uwezo huo sio kwa bahati mbaya.
Mungu katuleta hapa duniani kwa kusudi kubwa sana, hapa tulipo tunapoishi kama miungu wenye umungu ndani yetu kila hatua ndio tunatimiza ya Mungu hasa yale yanayo mpndeza yeye.
Tusiwasikilize wazushi wenye roho dhaifu, za woga na umasikini eti kujifariji utasikia hapa duniani sisi tu wapitaji tusiringe, tusijifanye huu ujinga, yaani nisiringe nikiwa natimiza yafaayo kwa Mungu. Nikifanya mazuri ya Mungu naringa sana tena hadi niwakere ili watubu dhambi zao.
Mungu sio mjinga watoto wana zaliwa kila dakika kwa hio hao watoto wanakuja likizo kuzaliwa kwao?
Tumia computer zetu za akili vizuri, kila mtu awaye yeyote ni malaika wa Mungu katika uzao wa mama yake na mbegu ya kiume haifanyi kazi bila kupewa upako na malaika wenye kuweka umungu ndani ya kiumbe atakae zaliwa.
Tupo hapa duniani kwa kusudi kubwa sana la kuishi kwingi Kwa kumuishi utukufu wake na yote yafaayo kwake.
Tusome zaburi ya 86 yote na Warumi sura ya 10 yote ndio mtaelewa.
Shalom.
Amani ya bwana iwe nasi pamoja na Argentina.