Ushuhuda:natumia zaidi ya elfu 20 kwa siku.

Ushuhuda:natumia zaidi ya elfu 20 kwa siku.

Sijui sijaelewa au ni nn
Sisi unatuambia haya ili??
Ni kwamba unajisifia au??siulizi kwa.mabaya am just stranded
 
Nipo kwenye taasisi Fulani ya serikali Mambo ya mazingira sio vizuri kuitaja hio ofisi lakini nipo kama mtaalamu Wao techinian
Vizur mkuu na Mimi ni kijana kama wew au yawezekan unanizid nina 20 years
lakin yawezekana sikufikii kimapato

make wew utakuwa juu kutokan na ujumbe wako

Lakin siachi kukushauri jaribu kushusha bajet na umake asset big

Au hauna ndoto ya kuendesha range Rover big
 
Najua tupo wengi tunaospend pesa nyingi kwa siku.wengine kwa siku wanatumia 5000,wengine 10000 ,wengine 30000 wengine mpaka million moja na wengine zaidi ya hapo
Mimi ndege JOHN matumizi yangu kwa siku kwa ukawaida natumia twenty na ushee wakati mwingine km Ni weekend nagonga mpaka 40000
Mgawanyo mzima upo Kama ifuatavyo.
Asubuhi nikiamka saa 12 Mara nyingi napika ugali mwenyewe sinywagi chai (ikumbukwe naishi ghetto ki bachelor).baada ya kula ugali Sana sana na maziwa mtindi Kisha naelekea kwa pusha wangu nakula dawa ya jero na sport Moja nikishachukua ma resi kadhaa natafuta na ndizi mbili zilizoiva na maji makubwa kwa hiyo jumla asubuhi natumia 3000.naelekea kazini nauli natumia 1000.ikifika saa tatu au saa nne nanunua uji 500 na matunda fruit mixer ya 1500.naendelea na kazi mpaka mida ya saa saba ambapo naagiza ugali na samaki 3500.hapo naweza kushushia na spar leta au juice ya miwa nje ya ofisi yetu.navuta na fegi mbili Kisha narudi kazini kumalizia kikao au Kama hakuna kazi ya kuingiza niliyopewa na boss naondoka mapema tuna sign kuondoka kazini saa Tisa na nusu.naingia mtaani naenda kwenye jumba la kamari gal sporting naweka mikeka ya 5000, sometimes naweza kucheza keno nikaliwa 5000.naondoka naelekea kwa pusha wangu namalizana naye stick mbili nikishavuta.nanunua maji makubwa na vocha Mara nyingi ya 1500..napanda bodaboda mpaka ghetto kwa 2000.nikifika naenda kwa washikaji zangu nasikilzia mastori mengi mida ya jioni nanunua K VANT ya buku nne na MO Energy mbili nazichanganya jumla 6000 wakati mwingine kabisa naenda kununua mbege ya 3000 na gongo ya 1500 na mix hii Ni maarufu Kama YouTube Ni mchanganyiko naotengeneza endapo Sina hela siku hio.nakunywa baadae nikiona vipi sielewi naenda ki pub flani nazuga na safari ndogo beer mbili kwa 3000.narudi ghetto saa mbili usiku baada ya mizunguko yangu Mara nyingi msosi wa usiku sipiki naenda zangu kula ubwabwa 1500 kwenye mgahawa fulani.na gharama nyingine ndogo ndogo Kama za kununua karanga sijaziweka Ila ndo hivo hii ndio ratiba yangu karibu kila siku kwa kifupi Asante kwa kusoma nakaribisha maswali.
Tatizo unapeleka sana
 
Back
Top Bottom