Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

Nakumbuka mwaka 2021 mwezi wa pili nilichukiwa hadi na mama mzazi.Nilikataliwa hadi na baba , ndugu wote walinitenga kisa sikuwa na kipato.Nikawa namtumaini Mungu,nikaokoka maana nilikuwa nasali RC , huko ndio nikakutana na Neema ya Mungu.Niliota nifungue biashara sehemu na nilipoamka nikafanya hivyo kwa imani ,nikafunguliwa mpaka wote walionichukia wakaniangukia Mimi niwasaidie.Kuanzia hapo nilimtukuza Mungu maishani Kwangu
 
Yale mambo yako umeachana nayo au bado unaendelea nayo

Halafu umepotea sana mzee academic performance,.
 
Dahhhhh......
Sijui nilinusurika vipi kujikwaa, maana:-
1. Frora alikufa kwa ngoma
2. Amina alikufa kwa ngoma
3. Zawadi alikufa kwa ngoma
4. Neema alikufa ngoma
5. Juke alikufa kwa ngoma
Na lio nipo poa na nina afya njema kabisa.
Damu yangu ni group 0+
 
Hao watano wametosha na ushukuru hasa. Usitegemee na wa sita ataenda kwa ngoma peke yake akuache.
 
Hao watano wametosha na ushukuru hasa. Usitegemee na wa sita ataenda kwa ngoma peke yake akuache.
Nikweli kabisa mkuu, ndio maana niliamua kuokoka na nimebakiza kuvuta bange na kunywa K-Vant pekee...😪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…