LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Wakati wa vuguvugu la corona niliamua kufungua account ya ziada instagram kwa ajili ya kuwa huru kukomenti chochote.
Fast forward now account yangu ina followers laki 2 na 80.
Nimepata followers hao kwa sababu ya kukomenti tu kama ' Xavier" wa Quora.
Kila nikicomenti kwenye trending issue na uhakika wa kupata followers kuanzia 200 hadi 400.
Kupitia account yangu hii najiingizia kipato ambacho sikuwahi kudhani naweza kuipata for just doing what I like.
Sasa hivi nimeanza kukomenti hadi kwenye account za Wanaijeria na Marekani na nikaona muitikio unakuwa mkubwa.
Wakifika followers milioni moja nitakuja kuwapa mrejesho hapa.
Na wewe sema " Napokea"