Ushuhuda: Nimepata followers laki 2 na elfu 80+ instagram kwa sababu ya kukomenti tu

Nje ya mada...hivi yule Xavier ni mtu mmoja au kikundi cha watu? Mtu gani ana jibu la kila swali tena bora yangekuwa majibu ya kawaida [emoji1787][emoji1787]
Ni mtu mmoja. Ni kama Oscar Oscar tu. He is genius
 
Chai
 
Chai
 
Kupitia account yangu hii najiingizia kipato ambacho sikuwahi kudhani naweza kuipata for just doing what I like.

Sasa hivi nimeanza kukomenti hadi kwenye account za Wanaijeria na Marekani na nikaona muitikio unakuwa mkubwa.
Hy ndo LIKUD Majin
 
Kuna hizo pisi za kwa Madiba unaweza honga uhai.
😂😂😂 Utafikiri wameshushwa Ila cameras noma kuna jamaa alipiga picha tukiwa Chuo akatumia iPhone macho matatu yaan ile picha na mandhari ya pale ni vitu viwili tofauti eneo ni local Ila limetoka km mbele km manipulation pameonekana km beach kumbe hata sio beach na ile minazi, cameras noma
 
🙆🙆🙆Mh ngoja ntafute Moja nimtumie atakachonijibu nitakutumia
Decii ni.msichana kwa.kimbulu
Hydorii ni salamu nilikuwa na demu wangu mbulu alikuwa ananifundisha
 

Mnaandaliwa kutapeliwa wadau, msiseme hamjaambiwa
 
Decii ni.msichana kwa.kimbulu
Hydorii ni salamu nilikuwa na demu wangu mbulu alikuwa ananifundisha
🤣🤣🤣🤣Sasa mbn ni kam umenisalimia mm kama mdada na wakati mi dume la mbegu au nimechanganya madesa
 
🤣🤣🤣🤣Sasa mbn ni kam umenisalimia mm kama mdada na wakati mi dume la mbegu au nimechanganya madesa
Dah nikajua mdada aisee. Hapo kwenye decii weka Garmaa.
 
Weka picha vinginevyo hii ni Chai ya tangawizi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…