USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

safi sana mkuu
 
We ni ny.oko ma.mae dah umetisha mkuu!
 
Umechanganya maelezo kwenye demand vs supply.
 
Karibu utembelee mabwawa yangu ya Samaki,utajifunza kitu
 
mkuu kwema, bado unafanya kilimo?
 
Kilimo ni biashara kama biashara zingine za uwekezaji ,kadili unavyowekeza ndivyo faida unavyozidi kupata pia kucheza na masoko...unawekeza laki mbili unategemea uvune M10 .

Mnao lalamika ndio wale walio hamasika na watu walio toboa kwenye kilimo mkaingia kichwa kichwa saizi mnapiga kelele ohh kilimo hakilipi sijui Hela ya kulimia Bora umzalie mume.....kilimo kigumu sana wakati unakianza ghalama za uendeshaji zinakuwa kubwa na siku zote kilimo ni uwekezaji na masoko.

Mfano hapa nyumbani kilombero tatizo wakulima wengi wanalima kibahiri Yani shamba hatiliwi mbolea ya kutosha wadudu wanashambulia hawapigi dawa ya uhakika matokeo yake msimu wa mavuno ukifuka kipato kidogo kinapatikana na yeye mpunga huo huo anategemea afanye chakula , afanyie maendeleo na ndio kama soko likishuka kile kidogo alichotenga kuuza kinarydisha faida ndogo hapa ndio kilimo kinaonekana kigumu.

Endeleeni kuvunjana moyo wenzenu wanasomesha watoto, wanafanya maendeleo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…