Ushuhuda Toka Loliondo....Serikali Inaficha Nini Loliondo..Wakati Wanajua Hakuna Tiba?

Hiyo imani iliyoku2ma kupiga lager baada ya kupona??? Ni ya Mungu gani?
 


Mkuu Zak:

Habari yenyewe katika gazeti la The African la Jumamosi iliyopita ni hii hapa: Inasikitisha sana na sijui serikali ya JK inasena niniu kuhusu kampeni ya vita dhidi ya ukimwi hapa nchini. Anakalia mambo ya kishirikina tuuuu!




BABU’S MAGIC CUP: Hundreds now abandon HIV testing centres, ARVs

By Fortunatha Ringo-Babati

THE Government’s support to Pastor Ambilikile Masapila ‘magic drug’ that is believed to have the ability to cure chronic diseases including HIV/AIDS may result into complete closure of Voluntary Counselling and Testing (VCT) centres as well as ARVs providing centres in Manyara Region, health expert has warned.

According to Manyara Region’s Mother and Child Health coordinator Elizabeth Malley, since the emergence of the ‘magic drug’ which has gained popularity countrywide and receive government support the number of people attending the clinics have dropped sharply.

Ms malley told this paper that, ‘magic cure’ has made a lot of people in Manyara Region who were previously attending ARVs clinic to abandon it and opt for the ‘magic cure’ hoping to get everlasting cure, adding that the Government support to it have even encouraged more others.

She said, following the situation, the ARVs providing centres have remained with a lot of drugs as the users are no longer coming to collect them.
The coordinator noted that, despite the fact that a good number of ARVs users have gone Loliondo to get magic cure non of them has ever come back and testify to have been cured by ‘Babu’s medicine.’

“We urge those who were previously using ARVs and went to Loliondo for the ‘magic cure’ to come forward along with their certificates indicating that they are living with AIDS so that we can test them and find out if they are now negative instead of just stopping using ARVs without a medical confirmation,” she stressed.

She urged ARVs users who are going to Pastor Masapila for treatment to continue using the ARVs and condoms during sexual intercourse if they are not ready to get laboratory confirmation that they are negative to avoid new infections.
Speaking of mother to child HIV transmission in Manyara region she said the figure was high due to fact that men who are positive do not encourage their wives to attend clinic and test.

She further noted that, 54 per cent of women do not attend clinic while pregnant and as result they are giving birth at home hence they do not have access to education on how to avoid mother to child transmission thus increasing HIV cases.







 
Hii story haina credibility yeyote. Hata mimi ninaweza kukaa hapa na kuandika kitu kama hichi. Haujaweka evidence yeyote ya kuambatana na story yako.
 
Babu kapata promo ya kubwa mno, publicity ya kupita kiasi, wanasema uongo ukirudiwa rudiwa unapata hadhi ya ukweli, ila ninachoshauri ukipata kikombe usiache dozi mpaka daktari wako akushauri!
 


Asante sana Mkuu. Mimi nafikiri kuna kamchezo fulani hapa. Kama lazima kwa wagonjwa wanaopata tiba zao za kihospitali lazima waendelee kutumia vidonge hivyo, basi kikombe cha babu kinaponesha nini?

Na kwa nini Babu asitangaze tangu mwanzo, bila kutafuna maneneno, kwamba lazima wagonjwa waendelee na tiba zao hata wakipata kikombe? Kaja kusema baadaye – bila shaka baada ya kuona watu wanakufa baada ya kikombe.

Na serikali nayo, haijatoa tamko la kinaga ubaga, bila kujiumauma kwamba wagonjwa wa ukimwi kwa mfano ni lazima waendelee na tiba zao za ARV na wasiaeche kwenda kupima vvu kwa hiari kwenye vituo vya kupimia.

Halafu kuna suala la magazeti – wanalikuza sana suala hili. Hadi sasa magazet mengi hayajaanza kutoa habari kuwa watu wanakufa kwa kutotibika na kikombe.

Inasemekana pale kwa babau wakienda waandishi na wasaidizi wa babu wakiweajua, basi huitwa pembeni na kupewa bahasha za kaki – ili waandike habari nzuri tu kuhusu tiba ya Babu.

Hii ni hatari, maana iwapo magazeti yataanza kuandika kile kilicho kweli, basi foleni kwa Babu itaanza kupungua sana na watu wengi watanusurika vifo.

Waandishi wawili wa New habari – Manyerere na Matinyi – walienda Loliondo na kukaa siku kama kumi huku wakileta habari za kusifia tiba hiyo. Ajabu ni kwamba muajiri wao – Rostam aliiponda hiyo tiba baada ya wagonjwa kutoka familia yake kwenda kupata kikombe na kutopona. Hiulo gazeti la The African pia ni lake lakini lenyewe limeamua kuandika kile kilicho cha ukweli kabisa.


Serikali isione haya – iingilie kati ili watu zaidi wasife kwa imani ya tiba ambayo ni potofu kabisa.

 


Sasa wewe usikate tamaaa kama ulishafunga safari loliondo basi kajaribu kikombe cha dada wa Tabora kikishidwa nenda kwa babu dogo wa Mbeya nathani mkorogo wote huo utaweza kukuoko. Anyway magonjwa sugu hayana dawa hauna kitu cha kupoteza kama hautatibika. waache wengine wakajaribu kikombe. bahati ya mwenzio usiilalie kikombe wazi. Nisawasawa tu we na jamaa yako mnaweza kuwa wote na malaria mkaenda hospitali wewe ukapona jamaa wako hasipone au afe, hakuna wa kumlaumu time imefika unamshukuru Mola
 
Ushauri wa bure kwa wanaoishi na vijidudu vya Ukimwi ni kwamba hata baada ya kupata kikombe cha babu inashauriwa uendelee na matumizi ya ARVs mpaka utakapopata negative results kwa sababu vijidudu hivi hupukutika kidogokidogo huku CD4 zikiongezeka. Inaweza ikachukua muda mrefu mpaka viishe vyote. Kwa hiyo huu muda wa kusubiri kama tayari hali ya mgonjwa ilikuwa siyo imara sana anaweza akapata attack ya magonjwa nyemelezi akapoteza maisha. Dawa inaponya lakini sidhani kama kwa haraka haraka hivyo kwa ugonjwa wa ukimwi.
 
All in all ningependa niulize, je, babu aliwatangazia watu waende?
 

Haya mambo ya imani wee yaache tu, ndiyo maana kuna dini nyingine wanachoamini au mambo wanayofanya unaweza kudhani ni wendawazimu lakini watu wamekauka, hivyo kama hujapata uponyaji pole sana kuna msemo usemao "msiba usiokuhusu usiuwekee matanga"
 
Wagonjwa wengi wa kisukari kwa sasa imewasaidia sana tofauti na wagonjwa wa ukimwi.

Pia kama una matatizo mengine ambayo yako nje ya pumu, sukari, BP sio rahisi kupona maana wewe umeshadhoofika sana.

Virusi vya ukimwi vilipoa ulipokunywa huo Mrigariga wa Babu, ina maana dawa ilifanya kazi, ila kwa kuwa haukuwa na kinga ya kutosha, sasa virusi vimerudi kwa kasi, ari na nguvu mpya. Inabidi ujipange upya kurudia ARV.

Pole sana Lalashe, ishi kwa matumaini huku ukitengeneza njia bora kwenda kwa Baba.

Usikate tamaa na kuwakatisha tamaa wengine, kama wewe hujapona wapo waliopona magonjwa mengine na wanadunda kwa afya.
 

Na ndio kilichomkuta huyu jamaa, wanasema ukipata chungu kipya usitupe cha zamani.

Sasa yeye baada ya kupata kikombe cha Babu akasahau ARV zake ghafla magonjwa nyemelezi yamerudi anamlaumu Babu wa Loliondo.

Kwani Babu amesema watu waache kutumia ARV??
 

Kuna dawa za malaria lakini si wote waotumia dawa za malaria hupona malaria, ukiangalia foleni hiyo watu siyo wajinga kupanga foleni ndefu na mateso ya njiani kama dawa ya babu ingekuwa haifanyi kazi kabisa, binafsi nafamu wengi waliokwenda na kupata kikombe kuna wengi wao hali zao za afya zimeimarika mno kuliko walivyokuwa kabla ya kupata kikombe
 
natapa kizunguzungu sijui which is which now!! Labda time will tell....
 
natapa kizunguzungu sijui which is which now!! Labda time will tell....

kizunguzungu kitaisha utakapoangaziwa njia zako na neno la Mungu

wenzio hatuna kizunguzungu, wala hatusubiri "wakati" tumelitegemea neno la Mungu pekee na hilo limetuweka huru!

Glory to God
 
mimi kinachonishangaza,kwa nini usipopona baada ya kupata kikombe cha babu,sababu utakayopewa ni unapona kwa imani.mimi naamini wanaoenda na kupanga foleni wanaamini na ndio maana wanakwenda.mimi ninawafahamu watu 3 wameenda,mmoja wapo ni mama angu,hakuna hata mmoja aliepona,na waliamini kuwa kikombe kitawaponyesha
 
Acheni longolongo nendeni Samunge mkapate kikombe cha babu. Nyie wenye HIV endeleeni kutumia ARVs mpaka hali zenu zitakapotengamaa, kama alivyoagiza Babu.
 
Pole sana!
Nani mkweli wewe ambaye haujapona au wale ambao wamepona, naona ni vema kila mmoja wetu akapate kikombe kama ni mgonjwa labda dawa yenyewe inachagua damu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…