Ushuhuda; Uuzaji wa bidhaa bila kuwa na pesa

Joined
Oct 21, 2017
Posts
18
Reaction score
10
Habari zenu wakuu.

Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa.

Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi ya vitu na kuvitupia mtandaoni. Wala sikua na hela ya kulipia.

Haikupita hata saa moja nikapokea simu watu wanahitaji. Wakanitumia hela pamoja na bidhaa wanayohitaji nami bila hiyana nikanunua kwa hela yao na kubaki na faida yangu nzuri tu.

Mzigo wao baadhi nishawatumia wengine nawatumia kesho. Na harakati zinaendelea pale pale. Kuna uzi hapa ulinifunua ndo chanzo cha mimi kuamua kujitupa huko.

Asante sana wakuu kwa uzi wenu
 
Habari zenu wakuu. Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa. Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi ya vitu na kuvitupia mtandaoni. Wala sikua na hela ya kulipia. Haikupita hata saa moja nikapokea simu watu wanahitaji. Wakanitumia hela pamoja na bidhaa wanayohitaji nami bila hiyana nikanunua kwa hela yao na kubaki na faida yangu nzuri tu. Mzigo wao baadhi nishawatumia wengine nawatumia kesho. Na harakati zinaendelea pale pale. Kuna uzi hapa ulinifunua ndo chanzo cha mimi kuamua kujitupa huko. Asante sana wakuu kwa uzi wenu
Umekurupuka boss, ungekuja na facts ingependeza
 
Safiii Mkuu na Hongera Piaaa
 
Bado sijakuelewa mkuu nimekurupuka vp labda
Nahisi mkuu anataka udadavuke stage by stage kuwa umenunua bidhaa gani na kuzipost hata gharama ikiwezekanalakin ww umesema tu juu juu umepost bidhaa na kupata faida
 
Habari zenu wakuu. Leo nataka nilete ushuhuda kuna kitu nimekifanya na nashukuru kimenilipa tena kwa mara ya kwanza kabisa. Leo nilienda kkoo kufanya research za biashara nikapiga picha baadhi ya vitu na kuvitupia mtandaoni. Wala sikua na hela ya kulipia. Haikupita hata saa moja nikapokea simu watu wanahitaji. Wakanitumia hela pamoja na bidhaa wanayohitaji nami bila hiyana nikanunua kwa hela yao na kubaki na faida yangu nzuri tu. Mzigo wao baadhi nishawatumia wengine nawatumia kesho. Na harakati zinaendelea pale pale. Kuna uzi hapa ulinifunua ndo chanzo cha mimi kuamua kujitupa huko. Asante sana wakuu kwa uzi wenu
Hivi bado watu wanaimani kiasi hicho kwamba Mtu hakujui akutumie hela ukanunue mzigo ndio umpelekee
 
Wakuu huu mchezo ni mgumu sana kuamini ila mpaka uingie ndani ndo utaelewa ni mrahisi sana kikubwa uaminifu tu. Hata mie mwanzo sikudhani kama mtu anaweza kuniamini ila sasa ndo napata picha kumbe imani yako tu ndo itakayokuponya. Kama utaamini kudhulumiwa basi hilo linaweza kutokea. Kikubwa nilichokiweka mimi ni kwamba nitakua mwaminifu na mteja hatopata bidhaa bila kutuma hela. Hiyo ndo falsafa yangu. Na namshukuru Mungu na namuomba anisimamie katika hili lisitokee tatizo lolote.
 
Tuache utani jamani biashara hizi za kusema mzigo natuma ni ngumu sana utakuwa unapata wateja wakuuliza zaidi itasaidia sana kama utaipromote ofisi yako
 
Tuache utani jamani biashara hizi za kusema mzigo natuma ni ngumu sana utakuwa unapata wateja wakuuliza zaidi itasaidia sana kama utaipromote ofisi yako
 
Nahisi mkuu anataka udadavuke stage by stage kuwa umenunua bidhaa gani na kuzipost hata gharama ikiwezekanalakin ww umesema tu juu juu umepost bidhaa na kupata faida
unataka atoe siri ya biashara nawe uige!
 
Hongera sana, Muumba akuepushie roho ya tamaa uendelee kuwa mwaminifu, ufanikiwe zaidi na zaidi.
 
Hii biashara mbona inajulikana, watu wengi wanafanya hasa instagram, anaenda kwenye maduka anapiga picha vitu anatangaza cha elf 20 anatangaza 30 akipata oder anaenda kukinunua, faida 10
 
Wanataka facts gan?
Pigs picha hizo ela ulizopata uwatumie hapa Jf ndio wataridhika kweli
 
Hongera sana, Muumba akuepushie roho ya tamaa uendelee kuwa mwaminifu, ufanikiwe zaidi na zaidi.
Asante sana mkuu bado naendelea na faida inaingia vzr tu jana nimetoka kusafirisha mzigo wa zaidi ya laki nne mteja aliniomba nimfanyie shopping
 
Back
Top Bottom