Usihukumu chukulia poa, huwezi kujua kakutana na yapi na Hawezi kukuambia... All in all saidia pale ambapo unawezaKuna kijana hajabahatika kumuona mama yake kwa miaka 11, nikaingiwa na imani nikasema ngoja nimpe laki na nusu aweze kwenda kijijini kwao kwao. Huyu kijana sina undugu nae hata kidogo ila nimemfahamu tu mtaani. Picha linaanza kakaa week moja anataka kurudi Dar, nikamweleza hela ngumu mie nimejinyima ili wewe uweze kwenda kumsalimia mama yako. .
Niliwaza sana inakuaje akifariki au inakuwaje mama yake akifariki this will be so painful. Kila anachovaa nimemnunulia mimi kwa hela yangu kwani alikuwa na kazi akafilisika mapema. Leo karudi Dar kaja kunisalimia usiku huu lakini cha ajabu mbali na kuwa hata zawadi alizopeleka nyumbani nimemnunulia mimi hakuja hata na chungwa au embe la zawadi kutoka kwao. Ila sio kwamba nilimsaidia ili aniletee zawadi hapana sikutegemea kitu nachotaka kusema unafurahi kuona mtu anajua mchango wako kwakwe. Hii inakupa moyo wa kuendelea kumchangia wengine wapo kukunyonya kama kupe. .
Hayo tu.
Siwezi kumuhukumu nazungumza kitu ambacho nakijua. Neno Asante linaweza kuwa na maana kubwa kuelewa mtu anajua mchango wake kwako. Sifanyi kumhukumu wala kutaka shukani nilichosema ni kuwa yeye ni aina ya watu ambao hawawezi tambua unaweka nini ndani yake. Sijaona ubaya wa nilichoandika. .Usihukumu chukulia poa, huwezi kujua kakutana na yapi na Hawezi kukuambia... All in all saidia pale ambapo unaweza
Uliyofanya ni ibada kubwa sana. Vitabu vyote vya dini vinahimiza kusaidia wenye uhitaji. Mkuu, Mungu akuzidishie mafanikio na kukuongezea mara dugu ya uliyotoa. Amen.Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake.
Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru.
Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l hii ni kutokana na athari ya lugha yake mama lakini mimi kuiona nimefarijika kujua kuwa msaada niliyompatia ulikua na thamani (Nimemsaidia kutola Form I hadi kamaliza chuo).
Kushukru ni jambo la heri
View attachment 2297121
Wewe huweziona ubaya, lakini ukizama kwa ndani baadhi ya sentensi ni kama malalamiko fulani hivi indirectly.Siwezi kumuhukumu nazungumza kitu ambacho nakijua. Neno Asante linaweza kuwa na maana kubwa kuelewa mtu anajua mchango wake kwako. Sifanyi kumhukumu wala kutaka shukani nilichosema ni kuwa yeye ni aina ya watu ambao hawawezi tambua unaweka nini ndani yake. Sijaona ubaya wa nilichoandika. .
Unaweka maneno mdomoni mwangu. .Wewe huweziona ubaya, lakini ukizama kwa ndani baadhi ya sentensi ni kama malalamiko fulani hivi indirectly.