Ushuhuda wa breakthrough!

Ushuhuda wa breakthrough!

Mkuu umejuajee kuwa hawa hawatoei mkuu,bill gates daily anatoa misaada all the word ndio ashindwe kutoaa fungu la kumi,kwan kutoaa fungu la kumi n dhambi mkuu ??iman yake yy mwandishi ndio ameani hvyo kuwa akitoa fungu la kumi atafanikiwa nayo n dhambi yy kusema???
Bill gate anataka kucontrol africa population growth?
Unajua maana yake nini?

Mungu wako kwanini ampe kingi mtu anayetaka kucontrol population growth considering alisema watu wake waje duniani kuijaza dunia?
Kwanini asikupe wewe kingi zaidi ya bill gate muovu?

Na unasemaje kuhusu Mo na Azam ambao wao hawana mandatory ya kutoa fungu la kumi?
 
Bill gate anataka kucontrol africa population growth?
Unajua maana yake nini?

Mungu wako kwanini ampe kingi mtu anayetaka kucontrol population growth considering alisema watu wake waje duniani kuijaza dunia?
Kwanini asikupe wewe kingi zaidi ya bill gate muovu?
sio kila pesa zinatoka kwa Mungu, zingine zinatoka kwa shetani na mtu anakuwa ajenti wa shetani kusambaza mambo ya kishetani. hata hapa bongo kuna watu wana pesa lakini hawana Mungu, wanashinda kwa wanganga wa kienyeji, wametoa kafara watoto na ndugu zao na wana pesa kibao ambazo hazijatoka kwa Mungu. ila zina majuto. baraka tunazoongelea hapa ni zile zinazotoka kwa Mungu, pesa na uhakika wa maisha kwasababu upo mikononi mwa Mungu. jua shetani naye ana pesa huwa anawapa watu na kwa kupokea pesa hizo watu hao huwa wanapata thawabu ya kishetani. hao matajiri wa marekani na duniani wametoa pesa nyingi sana kuua watu (abortion) na hata kupandikiza magonjwa kwa watu ili watu waendelee kuugua na wao waendelee kuuza madawa kwa magonjwa waliyoyatengeneza. ni maajenti wa shetani. hapa tunaongelea watu wanaopenda kumfuata Mungu ambao wameamua kupata pesa za Kimungu na sio za kishetani.
 
kuna baraka na pesa za aina nyingi. kuna pesa zinatokana na mashetani, freemason, majini n.k, pia kuna pesa zinatoka kwa Mungu kabisa. sisi tunaomwamini Mungu tunaamini kwamba, "baraka za Mungu hazina majuto". yani Mungu akikubariki hutajuta, hutatoa kafara, ni furaha. unaweza usiwe na pesa kama za hao matajiri wa dunia lakini ukawa tajiri kwa kuwa na Mungu anayekupa provisions, na pia anayekupa uzima. Mungu ndiye ameshikilia pumzi za wote, na Biblia inasema Mungu ndiye atupaye utajiri. namshukuru Mungu kwasababu ananipa baraka na ninaye yeye kwenye maisha yangu, kuliko mabilioni ningekuwa nayo lakini sina Mungu...sihitaji hilo.
So unasema na kusupport kauli ya masikini wabaki masikini na matajiri waendelee kuwa matajiri?

Kwanini mungu anamuachia shetani aendelee kufanya uchafu duniani ikiwa yeye ndio mwenye nguvu ya kumuangamiza?
Mungu anajua yote means kabla hajakuumba tayari anajua kwamba wewe utakuwa masikini au tajiri na kama atakuchoma moto au peponi.

Kama ni hivyo then fungu la kumi la nini?
 
sio kila pesa zinatoka kwa Mungu, zingine zinatoka kwa shetani na mtu anakuwa ajenti wa shetani kusambaza mambo ya kishetani. hata hapa bongo kuna watu wana pesa lakini hawana Mungu, wanashinda kwa wanganga wa kienyeji, wametoa kafara watoto na ndugu zao na wana pesa kibao ambazo hazijatoka kwa Mungu. ila zina majuto. baraka tunazoongelea hapa ni zile zinazotoka kwa Mungu, pesa na uhakika wa maisha kwasababu upo mikononi mwa Mungu. jua shetani naye ana pesa huwa anawapa watu na kwa kupokea pesa hizo watu hao huwa wanapata thawabu ya kishetani. hao matajiri wa marekani na duniani wametoa pesa nyingi sana kuua watu (abortion) na hata kupandikiza magonjwa kwa watu ili watu waendelee kuugua na wao waendelee kuuza madawa kwa magonjwa waliyoyatengeneza. ni maajenti wa shetani. hapa tunaongelea watu wanaopenda kumfuata Mungu ambao wameamua kupata pesa za Kimungu na sio za kishetani.
So unasema na kusupport kauli ya masikini wabaki masikini na matajiri waendelee kuwa matajiri?

Kwanini mungu anamuachia shetani aendelee kufanya uchafu duniani ikiwa yeye ndio mwenye nguvu ya kumuangamiza?

Mungu anajua yote means kabla hajakuumba tayari anajua kwamba wewe utakuwa masikini au tajiri na kama atakuchoma moto au peponi.

Kama ni hivyo then fungu la kumi la nini?
 
So unasema na kusupport kauli ya masikini wabaki masikini na matajiri waendelee kuwa matajiri?

Kwanini mungu anamuachia shetani aendelee kufanya uchafu duniani ikiwa yeye ndio mwenye nguvu ya kumuangamiza?
Mungu anajua yote means kabla hajakuumba tayari anajua kwamba wewe utakuwa masikini au tajiri na kama atakuchoma moto au peponi.

Kama ni hivyo then fungu la kumi la nini?
shetani ni mwizi na baba wa wezi, Mungu ana njia zake za utajiri na shetani ana njia zake za utajiri. ukweli huu unaujua, ukitaka ufuate, usipotaka acha.
 
Ubarikiwe sana,umenitia moyo mno,acha kesho na mi nianze,nilikwama kabisa,asante kwa kunipa nguvu,najua nitamuona Mungu.
 
Mkuu umejuajee kuwa hawa hawatoei mkuu,bill gates daily anatoa misaada all the word ndio ashindwe kutoaa fungu la kumi,kwan kutoaa fungu la kumi n dhambi mkuu ??iman yake yy mwandishi ndio ameani hvyo kuwa akitoa fungu la kumi atafanikiwa nayo n dhambi yy kusema???
Usinilishe maneno. wapi nilisema akisema alichoamua kukisema in free country kama tanzania ni dhambi?

Bill gates anasema africa ina overpopulate hivyo anataka kufanya population control ili isiwe cost kwa dunia, considering mungu wenu amesema watu waje duniani kuijaza dunia.
Na mungu wenu bila shaka hajaruhusu ndoa na ya christian na muslim lakini bill gates mtoto wake wa kike ameolewa na muslim.
Means bill gates anapingana na mungu wazi'wazi na wali hajali kuhusu maagizo yake.

Kwanini bill gates anayempinga mungu wazi'wazi apewe zaidi kuliko wewe usiyempinga mungu?
Au unataka kusema wewe hautoi fungu la kumi na mungu wako ana upendeleo?
 
shetani ni mwizi na baba wa wezi, Mungu ana njia zake za utajiri na shetani ana njia zake za utajiri. ukweli huu unaujua, ukitaka ufuate, usipotaka acha.
Sijauliza kuhusu kufuata wala kutofuata.
Bali nimeuliza kuhusu kwanini mungu ampe zaidi mtu anayepinga maagizo yake na kwanini asikupe wewe zaidi yake?
Na kwanini yeye mwenye nguvu na uwezo wote aendelee kumuacha shetani akitanua duniani na kuharibu viumbe wake?
Au unataka kusema kwamba hana uwezo huo?
You see contradictions right there?

Au unataka kusema mungu wako ana upendeleo?
 
So unasema na kusupport kauli ya masikini wabaki masikini na matajiri waendelee kuwa matajiri?

Kwanini mungu anamuachia shetani aendelee kufanya uchafu duniani ikiwa yeye ndio mwenye nguvu ya kumuangamiza?
Mungu anajua yote means kabla hajakuumba tayari anajua kwamba wewe utakuwa masikini au tajiri na kama atakuchoma moto au peponi.

Kama ni hivyo then fungu la kumi la nini?
shetani ni mwizi na baba wa wezi, Mungu ana njia zake za utajiri na shetani ana njia zake za utajiri. ukweli huu unaujua, ukitaka ufuate, usipotaka acha.
Sijauliza kuhusu kufuata wala kutofuata.
Bali nimeuliza kuhusu kwanini mungu ampe zaidi mtu anayepinga maagizo yake na kwanini asikupe wewe zaidi yake?
Na kwanini yeye mwenye nguvu na uwezo wote aendelee kumuacha shetani akitanua duniani na kuharibu viumbe wake?
Au unataka kusema kwamba hana uwezo huo?
You see contradictions right there?

Au unataka kusema mungu wako ana upendeleo?
shetani ni mwizi, mali hizi zote unazoziona/dunia nzima, Mungu alitaka mwanadamu ndio atawale. shetani alipomdanganya akaiba toka kwa mwanadamu. ni Mungu peke ndio mwenye mamlaka ya kumshinda shetani, hata mwanadamu anapomshinda shetani ni kwa nguvu za Mungu sio zake, kwasababu shetani ana nguvu pia. hivyo anachofanya shetani ni kuiba mali na kuwapatia watu kwa masharti. Mungu ameweka mbele yako njia mbili, ya haki inayokupeleka uzimani na kwenye baraka zake, pia kuna njia ya mauti ya waovu ambayo ukiiendea unaishia mautini. hakulazimishi kufuata au kuamini neno lake, anachokifanya ni kukushauri tu kama hivi tunavyotumika kukushauri, hiari ya kufuata ni yako kwasababu utavuna kadiri ya kile utakachopanda.
 
shetani ni mwizi na baba wa wezi, Mungu ana njia zake za utajiri na shetani ana njia zake za utajiri. ukweli huu unaujua, ukitaka ufuate, usipotaka acha.

shetani ni mwizi, mali hizi zote unazoziona/dunia nzima, Mungu alitaka mwanadamu ndio atawale. shetani alipomdanganya akaiba toka kwa mwanadamu. ni Mungu peke ndio mwenye mamlaka ya kumshinda shetani, hata mwanadamu anapomshinda shetani ni kwa nguvu za Mungu sio zake, kwasababu shetani ana nguvu pia. hivyo anachofanya shetani ni kuiba mali na kuwapatia watu kwa masharti. Mungu ameweka mbele yako njia mbili, ya haki inayokupeleka uzimani na kwenye baraka zake, pia kuna njia ya mauti ya waovu ambayo ukiiendea unaishia mautini. hakulazimishi kufuata au kuamini neno lake, anachokifanya ni kukushauri tu kama hivi tunavyotumika kukushauri, hiari ya kufuata ni yako kwasababu utavuna kadiri ya kile utakachopanda.
Unaniambia kwamba mungu siyo muweza wa yote na mpanga yote?

Kama ni muweza wa yote na mpanga yote means anajua nini kitatokea kabla hakijatokea, so kama mtu ataenda motoni maana yake tayari yeye alishajua.
Na bado anakuacha upotee huku anakuona na anajua kabisa wewe ni wa motoni.

Maana yake inawezekana ni kweli unachosema kwamba mungu siyo muweza wa yote na mwenye upendeleo.
Unakataa?
 
Atajuliaa wap amejuropokeaa tu ,angejuaa hao hawaishii kutoaa fungu la kumi na makanisa na misikiti wanajengaaa
Bill gates, elon musk, jeff bezos na mark zuckerberg nitajie makanisa waliyoyajenga.
La sivyo itakuwa sio kwamba wewe umeropoka tu bali ni muongo aliyempinga mungu wake na anayetakiwa kwenda motoni kama mungu wako alivyosema.
 
Umepata sh ngapi? Imetoka kwenye investment gani? Au ni mtu kakuletea?
unaamini Mungu hawezi kukupatia pesa kutoka sehemu nyingine yeyote ila kweney investiments tu. kama angeleta toka kwenye investment usingekuwa muujiza manake hiyo ingekuwa haki yako uliyotolea jasho. nilichopata mimi ni neema ambayo sikuitolea jasho kabisa.
 
So unasema na kusupport kauli ya masikini wabaki masikini na matajiri waendelee kuwa matajiri?

Kwanini mungu anamuachia shetani aendelee kufanya uchafu duniani ikiwa yeye ndio mwenye nguvu ya kumuangamiza?

Mungu anajua yote means kabla hajakuumba tayari anajua kwamba wewe utakuwa masikini au tajiri na kama atakuchoma moto au peponi.

Kama ni hivyo then fungu la kumi la nini?
wewe naona huu ujumbe haukuwa kwa ajili yako. unatakiwa kwanza uokoke kwa kumkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, ujiunge na watu waliookoka wakutoa tongotongo hilo ndio uje kujadili haya. Mungu akusaidie.
 
Kwa hiyo, hiyo 10m uliyopata kwa kuuza ndaga , ndiyo unaamini ni Mungu kakupa?
trust me, sijauza ndaga, wala chochote kisicho haram. kwa Neema yake, Mungu amemtuma mtu toka huko Ulaya, aweke pesa kwenye akaunti yangu bure, unconditionally. He and his wife just wrote to me kwamba wamekuwa wakifree some monies in their accounts hivyo wameamua waweke gift ya kiasi fulani cha pesa kwenye account yangu kama zawadi (ambacho kwa hela ya madafu ni milioni nyingi kwa kweli), na ndivyo ilivyotokea. kwangu ni coincidence kwasababu imekuja mara tu baada ya kutoa fungu la kumi, wana watu wengi lakini wamechagua kuweka hela hizo kwangu, wangeweka hata kwa watoto yatima, why me? walikuwa family friend ambao sikutegemea kama wangeguswa hivyo kwasababu wanayo mahusiano ya kifamilia na watu wengi pia.

sio hivyo tu, nimepata pia deals kibao kwenye career yangu maeneo mbalimbali ya Tanzania na kwenye nchi za afrika mashariki, na hayo yote yamekuja ghafla tu baada ya ushuhuda wa ndani Mungu akiniambia atanishangaza kwa muujiza, na ni baada ya kutoa fungu la kumi.

watu wengi tu wananipigia simu kadhaa wanataka kufanya kazi na mimi hadi imetakiwa nianze kupanga schedule kabisa jambo ambalo kabla haliuwa hivyo. awali nilikuwa nafanya kilichopo mbele yangu, kinachopatikana, sasahivi napangia watu ratiba kwa mambo ambayo yananipa pesa mimi mwenyewe. hilo la lump sum ni moja, kuna mengine mengi ndugu. jambo hili ni halisi, God is my witness, sina sababu yeyote kudanganya wala kufake.
 
Unataka kufunga kanisa...
hapana, sina mpango huo kabisa. nilichoongea ni kitu toka moyoni na hadi sasa kwa waliosikia wamesikia, wasioona na kukiamini shauri yao. mimi nilikuwa niongee na nilishindwa kunyamaza. ahadi za Mungu ni za kweli na amina, kile alichosema kinatimizwa kwetu hata leo hii.
 
Ngoja nikushambulie kidogo....

Ogopa sana kuhisi huko uliko ndio sahihi kuliko pengine....

Hata mimi niwewahi kupata manufaa makubwa baada Tu ya kutoa sehemu ya 10% ya mapato yangu....

Ngoja nikupe uhalisia...

Mwezi wa 8 mwaka jana mmoja wa marafiki zangu alikuja kunitembelea ofisini na hivyo kufanya uhalifu wa kuiba fedha (mapato) ya taasisi ninayoifanyia kazi.... Hali iliyonipekea kuwa na changamoto ya kukosa usingizi kwasababu ya fedha iliyoibiwa ijapokuwa uongozi wa Taasisi uliamua kuisamehe ile fedha baada ya mimi kumtajia muhisiwa ambaye wao wanamfahamu vyema kutokana na matukio yaliyowahi kutokea hapo nyuma kabla ya Mimi kuwa muajiriwa ndani ya hiyo taasisi...

So kuanzia August mpaka December sikuwa vizuri kifedha kwasababu nilijikuta naingia kwenye madeni yasiyoeleweka.... Nakumbuka yalifikia kama laki 756,000 sasa December 20 nilikuwa kwenye lindi la mawazo hivyo nikawa nawaza naanzaje 2022 nikiwa na madeni?

Ila neno ninalolitumia kila siku ninapokuwa kwenye changamoto ni MUNGU ANAJUA NI KIPI UNASTAHILI, MUAMINI ATATENDA.... Jioni niko kwenye kibarua ikapigwa simu nahitajika kwenye kikao cha siku 3 nje ya mkoa.... Lakini changamoto sina hata Mia mbovu.... Kawaida ofisi inafungwa saa kumi na mbili Ila Mimi nikajikuta nazidisha mpaka saa moja na nusu still niko kibaruani na huku nikiwa nawaza ni wapi nitaenda kupiga sound nipate atleast laki 2.5?

Mungu si athumani alikuja MTU saa mbili kasoro usiku akaniuliza kama naweza mpatia huduma hivyo nilimpa na akaongeza angependa watoto wake kama watano hivi wafanyiwe procedure ndani ya week hiyo nikamwambia inawezekana na akaomba aniachie advance ya laki 1.2 hivi so halafu akaondoka ... Naapa mbele ya Mungu nililia na nikajiuliza hivi inawezekana mimi ni mtoto wa mwisho wa Mungu mbona ananijali hivyo?

In short, ukienda kwenye seminar usisahau na ona umuhimu wa kuweka TGS kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanishukuru

Paap baada ya seminar tukaingiziwa mpunga mrefu nilioweza kukamilisha madeni yote na kuwapatia fedha ya Christmas na mwaka mpya ndugu zangu....

Ninachotaka kusema hasa kwetu sisi wakatoliki tunao Hama Hama bila sababu, tusali kwa kukiri kweli na tuamini kweli tuache huu mchezo wa kusali kwa mazoea....

Next time, nitajatoa ushuhuda wa Ekarist Takatifu uliowahi kunitokea nikiwa mtumikiaji (ministrant) Parokia moja iliyopo Jimbo kuu la Dar es salaam

Ushuhuda mwingine, mbele ya Groto la Bikirira Maria 2019

Mwingine 2020

Na huu niliouelezea ni December 20, 2021

Amini katika unachokiamini usikubali kuyumba...
 
utaniwia radhi, lakini penye ukweli naomba niseme ili ninawe mikono kwako. siku utakapokuja kugundua kuwa ulipoteza muda sana kuamini bikira maria na ekarist za kidini, it will be too late for you. unahitaji kuokoka na sehemu ulipo hapana wokovu, hata wale wana uamsho wanaojaribu wanafukuzwa.

wengi tulikuwa huko kwenye dini hatukumwona Mungu, tulipokuja kwenye nuru tunamwona Mungu. Kumwona Mungu sio lazima iwe kwenye vitu, these material things are just a bonus, ni bonasi tu lakini kumwona Mungu kiuhalisia ni kumwona moyoni kwasaababu sisi ni hekalu lake kama tukimkaribisha aingie ndani yetu. hakuna wokovu kwenye ukatoliki, trust me and you know it in your heart. pia huku tuliko sio kwamba ni dini inayokupeleka mbinguni hapana, ila at least misingi yao na mafundisho yao yapo kibiblia na Roho Mtakatifu ambaye ndiye Mungu mwenyewe anahusika kwenye maisha ya watu.

asiye na roho wa Kristo huyo sio mwana wa Mungu na hataenda Mbinguni. mtanishambulia lakin ukweli ndio huo. don't just shambulia, jaribisha kuingia kwenye wokovu uone tunachosema ni cha kweli au uongo, usibishe wakati upo huko. ukiwa kwenye shimo mtu akitaka kukurushia kamba utoke hautakiwi kubisha kupokea kamba labda kwa kuamini kama ni yakweli wakati bado upo kule shimoni. naongea hivi sio kwasababu nataka kutanishi ushuhuda wangu, huu nimeusema sio ili nisifiwe na mtu au vyovyote, nimeshindwa kunyamaza hadi nitangaze yale Mungu aliyonitendea na walio nielewa wamenielewa wasionielewa hata siwalazimishi kuamini au kuelewa. lakini wale watakaojaribu kufuata Maneno ya Mungu ndio watakaokuja na ushuhuda kama nimedanganya au la. I am not a pastor, wala nabii wala mtume, just an ordinary person. la mwisho ninalowaambia wale wanaomwamini Mungu ni kwamba, Wamtumaninio Bwana watapata nguvu mpya, watapaa juu kwa mbawa zao kama tai, watapiga mbio wala hawatachoka". Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom